much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 11,461
- 17,183
Unafikiri kwanini hakuwa na hamu ya kuirudia Tena?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unafikiri kwanini hakuwa na hamu ya kuirudia Tena?
Muulize yeyeUnafikiri kwanini hakuwa na hamu ya kuirudia Tena?
Joseph Deseré MobutuLIPIA TANGAZO SASA
[emoji23][emoji23][emoji23]Uliingizwa mjini na mwanaume wa mwanza?
Tupe na mrejesho wa shoo ya ngosha [emoji95][emoji95]
Uchangudoa haulipi. Na faida ya dhambi ni mahangaiko.Huduma yako huwa unaitoa kwa bei gani?
Ebu nishauri sijui nihamie dasalama kuepuka usumbufu
Fanya fasta bossEbu nishauri sijui nihamie dasalama kuepuka usumbufu
😀Ulitaka kusemaje kakaMtoa mada pole Sana
Sikuzote mwonekano wa nje
Ni tofaut na mwonekano wa ndani
Alivotarajia ungekua,
hukua kama alivokukuta
Wanaume wengi Ni wahanga wa hili janga
Mliowahi kulazwa mzena MSHANIELEWA[emoji4]
Mapenz konyo😀😀[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaa hadi machozii.
Unamfuata mtu kwao tena mwanza kutoka Dar?? Udugu unayawezaa kwa kweli Lol.
Uko sahihi baba j hili ndio likimkuta ngoshaMtoa mada pole Sana
Sikuzote mwonekano wa nje
Ni tofaut na mwonekano wa ndani
Alivotarajia ungekua,
hukua kama alivokukuta
Wanaume wengi Ni wahanga wa hili janga
Mliowahi kulazwa mzena MSHANIELEWA[emoji4]
Ngosha kaona isiwe tabu[emoji4]Uko sahihi baba j hili ndio likimkuta ngosha
Ujue hata Sielewi nilitaka nisemeje dada angu,najikuta naadika Kisha nafuta[emoji4][emoji3]Ulitaka kusemaje kaka
Ulimfuata aliyeko kwenye ndoa ukipiga simu yupo na baby wake...Ilikuwa siku mmoja nilikuwa kwenye mapenzi na kijana mmoja wa mwanza tulikutana ofisi fulani baada ya mazoea ya pale aliomba namba nikampa tukawa tunawasiliana kawawaid kila siku mpaka nikajikuta nimeingia kwenye mapenzi nikajikuta nampenda sana mimi na wivu jamani ukiwa na mimi unatakiwa uwe mvumilivu kidogo.
Tulipanga siku ya mimi kwenda Mwanza, siku ilipofika nilijipanga vizuri nikiwa na bashasha nyingi sana ya kukutana nae na kutokana na utani mwingi kipindi cha nyuma nikawa naona safari ndefu sana.
Baada ya kufika siku ya kwanza alinipokea akanipeleka hotel nzuri tu, nililala nae usiku mzima kesho yake morng aliniaga anaenda kazini alinipa pesa ya dharura laki moja kumbee chumba hajalipa nimekaa pale siku tatu mtu hajatokea nikipiga simu apokei kisa sikijui nililipa na kurudi zangu kwetu bila kumpa taarifa.
Ndipo nilipofika akaanza jiongelesha oh mimi nilikuwa nimebanwa simu iliisha chaji samahani ulitumia kiasi gani nikupe niliona upumbavu nikakata simu, mpaka leo siwezi kumsafiria mwanaume hata awe nakaa nae mkoa mmoja ila wilaya tofauti siwezi.
😀😀Ujue hata Sielewi nilitaka nisemeje dada angu,najikuta naadika Kisha nafuta[emoji4]
Kwakweli ni kukosa kazi za kufanyaWatu mna mambo, wengine tunahangaika na uchakarikaji wengine mnahangaika kusafiri kuzifuata mikoani.
Pole sana, naamini umepata funzo.