Hii ndiyo sababu inayonifanya nisikutane na mwanaume hasa wa mkoani

Hii ndiyo sababu inayonifanya nisikutane na mwanaume hasa wa mkoani

Mtoa mada pole Sana

Sikuzote mwonekano wa nje
Ni tofaut na mwonekano wa ndani

Alivotarajia ungekua,
hukua kama alivokukuta

Wanaume wengi Ni wahanga wa hili janga

Mliowahi kulazwa mzena MSHANIELEWA[emoji4]
Uko sahihi baba j hili ndio likimkuta ngosha
 
Ilikuwa siku mmoja nilikuwa kwenye mapenzi na kijana mmoja wa mwanza tulikutana ofisi fulani baada ya mazoea ya pale aliomba namba nikampa tukawa tunawasiliana kawawaid kila siku mpaka nikajikuta nimeingia kwenye mapenzi nikajikuta nampenda sana mimi na wivu jamani ukiwa na mimi unatakiwa uwe mvumilivu kidogo.

Tulipanga siku ya mimi kwenda Mwanza, siku ilipofika nilijipanga vizuri nikiwa na bashasha nyingi sana ya kukutana nae na kutokana na utani mwingi kipindi cha nyuma nikawa naona safari ndefu sana.

Baada ya kufika siku ya kwanza alinipokea akanipeleka hotel nzuri tu, nililala nae usiku mzima kesho yake morng aliniaga anaenda kazini alinipa pesa ya dharura laki moja kumbee chumba hajalipa nimekaa pale siku tatu mtu hajatokea nikipiga simu apokei kisa sikijui nililipa na kurudi zangu kwetu bila kumpa taarifa.

Ndipo nilipofika akaanza jiongelesha oh mimi nilikuwa nimebanwa simu iliisha chaji samahani ulitumia kiasi gani nikupe niliona upumbavu nikakata simu, mpaka leo siwezi kumsafiria mwanaume hata awe nakaa nae mkoa mmoja ila wilaya tofauti siwezi.
Ulimfuata aliyeko kwenye ndoa ukipiga simu yupo na baby wake...
 
Watu mna mambo, wengine tunahangaika na uchakarikaji wengine mnahangaika kusafiri kuzifuata mikoani.

Pole sana, naamini umepata funzo.
 
Niwe wa kwanza kukutakia HBD saa chache zinazokuja. Nilitaka nije DM lkn mi mdomo zege,
 
Back
Top Bottom