Hii ndiyo sababu ya Godbless Lema kutoambatana na mkewe kwenye kesi ya Kamanda Wema sepetu Dar

Lizaboni akitoka bashite hapo dar,ukaombe kazi upewe maana naona kama unakaa kaa tu bila kazi
 
Lema anafurahia tu kuuangalia ule msambwanda wa wema
 
Think tank ya CCM huyo, dah noma kweli..
 
Mwambie " yule bwana " aweke mzigo mezani.. Haya wema amesema Mama ongea na mwanao alete vyeti..
 
Lakini si ni kweli Lema ameambatana na wepa bila mke wake
ulishaona wapi makamanda wakaenda vitani na wake zao, hii ka muvi ya vandame vile, yaani ni mapambano kwa kwenda mbele, vita ni vita murah! hata wema twende!
 

Mkuu wewe huwa unaenda kazini na mkeo?
 
Kaka naona sasa umeishiwa habari za kuweka kwenye jamvi. Hii ni u-shilawadu zaidi kuliko habari. Tafakari kabla ya kuleta mada kwa watu makini wanaothamini rasilimali zao hasa muda.
 
"Nikimkuta mbunge yoyote wa CCM anamsabahi mbunge wa upinzani nitamvua uanachama na nitakula naye sahani moja" By mwenyekiti mtukufu Pombe
 
sawa usiwe na wasi maana vyeti vikiwekwa mwezani tutaishiwa hoja au wewe hupendi tuishiowe hoja sie chadema?
 
sawa usiwe na wasi maana vyeti vikiwekwa mwezani tutaishiwa hoja au wewe hupendi tuishiowe hoja sie chadema?
Kwani hiyo hoja ya vyeti inawasaidia vipi kuongeza wafuasi?
 
sawa usiwe na wasi maana vyeti vikiwekwa mwezani tutaishiwa hoja au wewe hupendi tuishiowe hoja sie chadema?
 
hebu weka picha ya lema na watoto wake tujiridhishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…