Poleeeeeeeeee unataka akuchukue wewe?jipange ogaaaaLema ndio kishachukua zigo lile,tusubiri picha akila mzigo live na kula denda kwenye magazeti ya Kiwi
Hivi ndivyo lizaboni anavyoingiza siku. Buku saba si kidogo sana kwa mtu makini!Hivi Lizaboni kwani lazima kila kitu unachooongea kiwe cha kuponda upinzani na kusifia CCM? Yani nilivomaliza kuisoma tu nikacheki username yako nikaconfirm doubts zangu. Kwa hiyo Lizaboni we ni nani wa Lema? Kakuvujishia hizo siri? Kwamba watakua wanakutana na Wema mara kwa mara na blah blah blah nyingine? Hivi unajua upo JamiiForums[emoji28]. Hili sio lile group lako la whatsapp la wanalumumba yani msg yako imekaa kichokozi kabisa.
Everybody should say no to children below majority age to be used in dirty politics like godbless lema does to his children. Let our children grow in a dirty free political environment whether their parents are CCM or oppositionUjasiri wako upo wapi ili tuweze kuulinganisha na ule wa lema ulio koko?? Child Labour umeona kwa Lema? Kama mimi na wewe tumeshindwa kuifanya Tanzania ambayo watoto wetu watajivunia nayo, Lema kajitoa. Hatuna budi kumuombea na kumsupport.
Mkuu, nilishawaji kidumbukia na mavi nimekula na kunywa mkojo[/QUOTE basi sitakushangaa tena....nisamehe mkuu sikulijua hilo mapema
Unamjua Tundu Lissu?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hivi kwa spidi hii kweli chadema wana nia ya kuja ongoza hii nchi???
HAPANA.
Unataka bashite akuongozeHivi kwa spidi hii kweli chadema wana nia ya kuja ongoza hii nchi???
HAPANA.
Yaaani wewe ni mmbea utaolewa kweli??Wadau, amani iwe kwenu.
Habari inayotrend kwa sasa ni tukio la Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema kumkataza mkewe kutofuatana naye Dar kwa ajili ya kesi ya Kamanda Wema Sepetu. Mke wa Lema amesikika akimshauri mumewe kufuatana naye Dar es Salaam kwa ajili ya kesi hiyo ambayo imepangwa kusikilizwa leo kabla haijaahirishwa. Hata hivyo, Godbless Lema alimsihi mke wake abaki nyumbani aangalie watoto wakati yeye anapambana kumsaidia kamanda Wema ambaye ameonesha uungwana wa kwenda Arusha mara mbili kwa ajili yake.
Inadaiwa kuwa awali Mama Lema hakuwa tayari kumuacha mumewe aende pekee Dar es Salaam kwa madai kuwa usalama wake upo mashakani. Hata hivyo, Lema alimtoa hofu hasa baada ya kumhakikishia kuwa ataambatana na Kamanda Kalist Mabina.
Godbless Lema atakuwa Jijini Dar es Salaam kwa siku kadhaa kwa ajili ya maandalizi ya hafla ya kumkabidhi Kadi ya CHADEMA Kamanda Wema na kwamba wawili hao watakuwa wanakutana mara kwa mara na wakati wowote kwa ajili ya kukamilisha hafla hiyo ambayo inadaiwa kuwa itakuwa ya aina yake
Ona unavyojidharilisha....Mkuu, nilishawaji kidumbukia na mavi nimekula na kunywa mkojo
NDOA YA LEMA MASHAKANI !Wadau, amani iwe kwenu.
Habari inayotrend kwa sasa ni tukio la Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema kumkataza mkewe kutofuatana naye Dar kwa ajili ya kesi ya Kamanda Wema Sepetu. Mke wa Lema amesikika akimshauri mumewe kufuatana naye Dar es Salaam kwa ajili ya kesi hiyo ambayo imepangwa kusikilizwa leo kabla haijaahirishwa. Hata hivyo, Godbless Lema alimsihi mke wake abaki nyumbani aangalie watoto wakati yeye anapambana kumsaidia kamanda Wema ambaye ameonesha uungwana wa kwenda Arusha mara mbili kwa ajili yake.
Inadaiwa kuwa awali Mama Lema hakuwa tayari kumuacha mumewe aende pekee Dar es Salaam kwa madai kuwa usalama wake upo mashakani. Hata hivyo, Lema alimtoa hofu hasa baada ya kumhakikishia kuwa ataambatana na Kamanda Kalist Mabina.
Godbless Lema atakuwa Jijini Dar es Salaam kwa siku kadhaa kwa ajili ya maandalizi ya hafla ya kumkabidhi Kadi ya CHADEMA Kamanda Wema na kwamba wawili hao watakuwa wanakutana mara kwa mara na wakati wowote kwa ajili ya kukamilisha hafla hiyo ambayo inadaiwa kuwa itakuwa ya aina yake
Kwa hiyo mkuu unasema huyu mgeni ni hatari kwa mustakabali wa ndoa za watu huko CDM? Haya tusubiri muda utasema kila kitu. Mgeni asije akawa balaa.Hapana Mkuu. Ndoa ya Lema na mkewe ipo mashakani