Hii ndiyo sababu ya Godbless Lema kutoambatana na mkewe kwenye kesi ya Kamanda Wema sepetu Dar

Hii ndiyo sababu ya Godbless Lema kutoambatana na mkewe kwenye kesi ya Kamanda Wema sepetu Dar

Hivi Lizaboni kwani lazima kila kitu unachooongea kiwe cha kuponda upinzani na kusifia CCM? Yani nilivomaliza kuisoma tu nikacheki username yako nikaconfirm doubts zangu. Kwa hiyo Lizaboni we ni nani wa Lema? Kakuvujishia hizo siri? Kwamba watakua wanakutana na Wema mara kwa mara na blah blah blah nyingine? Hivi unajua upo JamiiForums[emoji28]. Hili sio lile group lako la whatsapp la wanalumumba yani msg yako imekaa kichokozi kabisa.
Hivi ndivyo lizaboni anavyoingiza siku. Buku saba si kidogo sana kwa mtu makini!
 
yan hlo jina la kamanda wema sepetu naona aibu kulitamka.....kweli nimeamini hata kamanda wema K tu
 
Ujasiri wako upo wapi ili tuweze kuulinganisha na ule wa lema ulio koko?? Child Labour umeona kwa Lema? Kama mimi na wewe tumeshindwa kuifanya Tanzania ambayo watoto wetu watajivunia nayo, Lema kajitoa. Hatuna budi kumuombea na kumsupport.
Everybody should say no to children below majority age to be used in dirty politics like godbless lema does to his children. Let our children grow in a dirty free political environment whether their parents are CCM or opposition
 
siri za ndani hizi mkuu unazipata wapi
 
hivi huyu lizaboni ana cheo gani ccm????

je ndio lemutuz kama watu wanavyosema???
maana akili zake kama vile alishawahi kudumbukia chooni utotoni
 
basi sitakushangaa.....nisamehe sikulijua hilo mapema
Mkuu, nilishawaji kidumbukia na mavi nimekula na kunywa mkojo[/QUOTE basi sitakushangaa tena....nisamehe mkuu sikulijua hilo mapema
 
Hivi kwa spidi hii kweli chadema wana nia ya kuja ongoza hii nchi???
HAPANA.
Unamjua Tundu Lissu?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Habari inayotrend kwa sasa ni tukio la Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema kumkataza mkewe kutofuatana naye Dar kwa ajili ya kesi ya Kamanda Wema Sepetu. Mke wa Lema amesikika akimshauri mumewe kufuatana naye Dar es Salaam kwa ajili ya kesi hiyo ambayo imepangwa kusikilizwa leo kabla haijaahirishwa. Hata hivyo, Godbless Lema alimsihi mke wake abaki nyumbani aangalie watoto wakati yeye anapambana kumsaidia kamanda Wema ambaye ameonesha uungwana wa kwenda Arusha mara mbili kwa ajili yake.

Inadaiwa kuwa awali Mama Lema hakuwa tayari kumuacha mumewe aende pekee Dar es Salaam kwa madai kuwa usalama wake upo mashakani. Hata hivyo, Lema alimtoa hofu hasa baada ya kumhakikishia kuwa ataambatana na Kamanda Kalist Mabina.

Godbless Lema atakuwa Jijini Dar es Salaam kwa siku kadhaa kwa ajili ya maandalizi ya hafla ya kumkabidhi Kadi ya CHADEMA Kamanda Wema na kwamba wawili hao watakuwa wanakutana mara kwa mara na wakati wowote kwa ajili ya kukamilisha hafla hiyo ambayo inadaiwa kuwa itakuwa ya aina yake
Yaaani wewe ni mmbea utaolewa kweli??
 
NDOA YA LEMA MASHAKANI !
 
Hapana Mkuu. Ndoa ya Lema na mkewe ipo mashakani
Kwa hiyo mkuu unasema huyu mgeni ni hatari kwa mustakabali wa ndoa za watu huko CDM? Haya tusubiri muda utasema kila kitu. Mgeni asije akawa balaa.
 
Back
Top Bottom