Hii ndiyo sababu ya matajiri kuwa na watoto wachache

Kweli kabisa mkuuu. Utajiri unatokana naapambano yako apa duniani
 
Maskini wanazaa watoto wengi kwa sababu zifuatazo
1.Kujifariji watoto wapate kumfariji kwakuwa yeye hana kipato
2.Watoto wapate kuja kumsaidia baba au mama badae
3.Ufinyu wa akili maana wengi wanakuwa hawawezi kuwasaidia wanazaa watoto wengi wanashindwa kuwatunza sana sana wanazalisha wezi makahaba yatima panya road
4.Maskini hana hela asilimia kubwa hio ndio starehe yake inapeleka mimba kila mara
Kiufupi umasikini ni mzigo na laaana
 
Kweli kabisa mkuuu. Utajiri unatokana naapambano yako apa duniani
Vipi kama unapambana kwa watoto 10 harafu unazaa 11??

Huoni kama tayari umefeli japo unatoa jasho sana?!!!
 
Maskini wanabeti maisha!
 
Hivi una bilioni ngapi vile?
 
Matajiri wengi wanaoa wanawake wasomi, wenye ajira au serious business kwa hiyo lazma wawekewe muda flani kwa sababu mwanamke nae ana ndoto za kuzitimiza au yupo busy na ratiba za kazi kiasi hawezi kupata maternity leave kila mara.

Kwa maskini ni rahisi kwa sababu wengi wanaoa wanawake wasio na kazi au wanafanya shughuli ndogondogo ambazo haziwahitaji likizo wala kuathiriwa na ujauzito
 
Hiyo ni sahihi...lakini unarudi katika hoja Je mtoto ana affect kipato na sustainability ya kiuchumi ya familia au la?

Hapa sababu sio kwanini mtu anapata watoto wengi...Hoja ni vile idadi ya watoto inavyoweza ku-gharimu kipato chako!
 
Hiyo ni sahihi...lakini unarudi katika hoja Je mtoto ana affect kipato na sustainability ya kiuchumi ya familia au la?

Hapa sababu sio kwanini mtu anapata watoto wengi...Hoja ni vile idadi ya watoto inavyoweza ku-gharimu kipato chako!
Sasa mkuu tajiri kama tajiri, labda akose muda wa malezi Ila sio kipato. Na kwa Tanzania hii unakuta mwenye uwezo anasomesha na kuwatunza watoto wa ukoo mzima ndio itakuwa ashindwe kula familia mwenyewe

Ulichokiongea kikubwa hususani kwa middle income earners, kuwa na watoto wengi lazma iathiri kipato cha familia na Quality ya malezi mtoto anayopata. Mfano familia inaweza kuwa na uwezo wa kusomesha watoto wanne, international schools Ila kwa sababu wamezaa tisa itabidi wasome kayumba. And mind you katika situations kama hizi hata savings zinakuwa ni mtihani. Kwa hiyo athari za familia kubwa zinawakumba middle income earners Ila sio matajiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…