Hii ndiyo sababu ya matajiri kuwa na watoto wachache

Hii ndiyo sababu ya matajiri kuwa na watoto wachache

Masikin ana muda mwingi wa kukaa na mke ...
Tajiri mchaka mchaka Kila siku
Masikin starehe yake kubwa ni ngono..
Mtu ameoa 25 years old huyo hawez kuwa tajiri labda ameridhi au kipaji
Masikin mke ndio kipaumbele cha Kwanza sio hivyo kwa tajir
 
Kazi yake kupekecha moto...hahaha tatizo moto ukiwaka na fire wakiwa mbali ndo shida inaanzia hapo...hahaahha....

uchumi wote unaungua....
 
Nyie ndo Wale mnaohesabugi adi eti Kwa mwaka nimekula sijui gunia ngapi za mahindi sijui contena ngapi za mchele use less fact
Je!? Mshahara wako au mapato yako hua unahesabia???!... au unajua unapokea kiasi gani??!...

Kufumba macho na kukataa kuona kilicho mbele yako...haimaanishi.... kwamba kile kilicho mbele yako hakipo....hahaha
 
Mimi na fyatu tu.Washafika wanne.Bado wa uzeeni.
Screenshot_20230709-163836.jpg
 
Ila watoto huja na baraka bhana,,,, chamsingi uzae kwa mpango sio kukurupuka
Hiyo katika factor za kidunia na maisha tunaita BETTING,hivyo kuna probability within....

Na kama kuna probability the outcome never been garanteed!

Usije kuwalaumu baadae...
 
Back
Top Bottom