Hii ndiyo sababu ya matajiri kuwa na watoto wachache

We usiyetaka kuzaa watoto wengi usije Kuja wasumbua watoto wa wenzako utakapozeeka.
 
Unakuta jitu lina maisha magumu kula kwenyewe kwa shida ila yeye kazi kuzalisha tu .

Halafu wana msemo wao mmoja wanasema "kila mtoto anakuja na baraka yake"

Huwa nawashangaa sana watu wa hivi
 
Bonge la points
 
Unajidanganya huko kwawarabu mambo yakuoa wake wa 4 wala hawaya entertain ila masheikh wahuku pangu pakavu ndo balaa
 
Basi Mzee wangu alikuwa Tajiri sana watoto 17
 
Masikini endeleeni kuzaa tupate makahaba wa kununua
 
Hiyo bajeti ya Sh 5000 kwa siku kwa kila mtoto wewe umekuwa Bakressa? Usitutishe mkuu.
 
Bora zaidi kuzaa idadi utakayoimudu vizuri...mambo ya kuzaa yapo kimtazamo zaid.
 
Oya hajataja wazungu embu ludia uzi ndo uccomenti
Na wewe rudia comment yangu uelewe wazungu wameingiaje.

Nimeweka wazungu kussuport point yangu ya utamaduni na idadi ya watoto.

Ila una haki ya kuelewa ulichoelewa na si jukumu langu kukuelewesha kilichomaanishwa.
 
Baadhi ya koo zitafutika siku moja kwani hata hao wachache wengi ni wanawake na wanaume baadhi wanadondokea ushoga na ufala wa kutotaka kuoa.Zaa watoto wengi usije ukajuta mbeleni
 
Sababu sikuiona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…