Hii ndiyo sababu ya mimi kutokuwa na huruma na Ndugu

Hivi mama Yako angekuwa anakusimanga ungefika ata Chuo acha Uchawi inawezekana n kweli ulikuwa unakula Bata Chuoni mama awezi msimanga mtoto labda kma sio mama yako
 
We nazani hujawahi kupitia Hali ya kuona kuna mtu anaweza kukusaidia harafu akupotezee baadae aje yeye kukuomba msaada je utamsaidia
 
Umepewa, ili uwafundishe utukufu wa aliye juu, Mungu ni wa kipekee sana, yeye ndiye hujua njia zako zote mpaka umauti wako, ukiwajerea kwa upendo, watateseka sana na kujiuliza maswali 1000,na neema zako zitazidishwa mara 1000, ukiwalipiza yaweza ikawa njia ya kujifunga, UTUKUFU WA MUNGU NI WA KIPEKEE, HIS CALCULATIONS IS OF WONDEROUS!
 
Green Lebel, TATEPA and KATEPA
 
Naona kama vitunguu vimezidi kwenye chai[emoji1787][emoji1787]
Mimi alikuwa amechanichota, Ila pale aliposema mama yake alikuwa anamsimanga kwa kutumia boom vibaya, nikajua haya ni majani ambayo hayakuwa blended na kukauka vizuri na kusababisa harufu isio ya kawaida kwenye kinywaji pendwa cha asubuhi.
 
yote wa yote achana na maisha ya visasi Dunia hii ukitaka kulipiza kwa Kila baya ulilotendewa au unalotendewa utajikuta unabaki peke Yako.


By the way maisha ni muendelezo hata wewe hujamaliza Kila kitu Bado unaishi huwezi jua ya mbele Yako kama ambavyo dada Yako hakujua ya mbele yake!!
 
Ntarud hapa kutoa speech #ASAP
 
nawe unarudia yale yale walio fanya nduguzo, yaani kama vile umeongea na muumba utakuwa na kazi na hela siku zote

wasaidie wote, achana na ubwege wa kubeba vinyongo ila kubwa zaidi jiwekeze maana ukiangua walah utajuta mara 9 maana hakuna atakaye kusaidia kwa ubwege wako
 
Acha kiburi,maisha huwa yanabadirika muda wowote,leo unaweza ukawa na afya kesho ukawa mgonjwa ambae ukashindwa kufanya hata hizo kazi zako,unadhani nani atakae kuangaikia, hela zako?so, mama ni jukumu lako kumsaidia 100%, ndugu wengine wasaidie pale inapohitajika ukiwa na uwezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…