Hii ndiyo surprise niliyomfanyia x-wangu aliyetaka kupasha kiporo

Siku moja asubuhi wakati natoka nyumbani kwenda mihangaikoni nikiwa stendi nikakutana na x- wangu, nilikuwa nina mwaka mzima sijawahi kumuona.

Nikasalimiana nae akaniuliza mbona nimepotea ananipigia sipokei, ni kweli aliwahi kunicheki WhatsApp sikujibu nilifuta kabisa. Nikamwambia mambo mengi nicheki leo, akaniambia sawa, nikaondoka kweli baadae alinicheki. Akaniambia anataka tuonane kanimiss sana na wakati huu akawa ananiita mpenzi wake😁😁 nikamwambia tuonane kesho leo nipo bize nimechoka then kesho naingia asubuhi kanibembeleza lakini niligoma.

Ikafika hiyo kesho mida ya usiku akaniambia nirequest bolt hadi kwake, nikamwambia mimi sijisikii kupanda hizo bolt nifate, akanibembeleza nirequest nikagoma, ikabidi anifate.

Akaja mpaka karibu na ofisini, akafika kanipigia nikatokea kwa hapo stendi nikamkuta maana alikuja na pikipiki yake, nikamwambia twende mahali tukapate dinner ndiyo tuondoke, kweli tukaenda hadi bar fulani na ilikuwa weekend, tulivyofika nikala yeye hakunywa chochote alisema alikuwa kalala amekuja kwaajili yangu.

Wakati nimeletewa chakula nakula hapo, mbele yetu ghafla nikamuona x-wangu mwingine tuliyeachana kwasababu flani flani hizi nitaeleza wakati mwingine. Huyu x wangu mwingine alikuwa na rafiki zake nilishtuka, ila nikawa normal tu, yeye sasa nikamuona anawanong"oneza marafiki zake wanageuka wananiangalia, nadhani hakutegemea kama tungekutana. Akaanza kunywa pombe kwa sifa mwishowe ikiabidi wahame meza na marafiki zake, naona hakuwa comfortable kukaa pale.

Huyu x-wangu niliyekuja nae hakuona chochote ndiyo kwanza alikuwa ananilazimisha nile chap tuondoke akanile, nikamaliza kula pale nikamwambia nipeleke nyumbani kwanza sijachukua nguo za kesho,.
Basi akanipeleka mpaka pale stendi aliponiona ile siku ya 1 nikamuacha pale nikamwambia narudi nilivyofika ndani nikamwambia mimi nalala tutaonana siku nyingine, akapiga sikupokea akatuma msg sikujibu. Hakunitafuta tena.

Kuna siku nilikutana nae njiani akanipa lifti, akanikumbushia nilichomfanyia ile siku, mimi nilimcheka sana. Hiyo ndiyo zawadi ya x- anaerudi kupasha kiporo.
halafu mkitekwa na kupigwa mtungo mnalalamika. Ingekugharimu kiasi gani kukataa?

Vya watu mnavipenda, vyenu mnaona almasi.
 
Kitumbua kimechoka, kipo likizo.
 
X G-
Huw MnaOnaga kula ela za ma x- wenu ni haki yenu ila kuliwa ahaaa

Ma x Girlfriend mnajua kudai anteetion kwa mlioachana nao ila kuliwa aaa pesa mnatakan
 
Safi sana [emoji81][emoji81]
Naona wanaume mmekasirika.!! [emoji1787]

Ila mahi inaonekana nawe si haba umewapanga.!! Haya Abood ngapi wanatoshea?? [emoji81][emoji81]
Hapo ungeendelea kukaa wangejitokeza wengine…
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Wewe ulimfanyia kituko cha staha kidogo bhana.

Mimi X wangu alilipiza kwa kunikomoa!

Nilivyokutana naye kanona halafu anaringa kuliko zamani, nadhani alinifanyia makusudi kunivuruga saikolojia, nikamtamani!

Mbinu zangu nilizozitumiaga zamani kumnasa nikazibadili, sasa nikatumia mtego wa cash za kutupatupa kama wanavyofanyaga waNigeria.

Alivyojaa, haraka sana nikamshawishi twende 'gesti', akakubali.

Tulipofika gesti kulikuwa na bar, unakutana na bar kwanza, vyumba vipo uani na mhudumu wa vyumba yuko uani huko huko.

Nikaelekezwa na mhudumu wa bar kwenda aliko mhudumu wa guest kulipia.

Dosho nikamuacha counter, nilipolipia nikamfuata huku nikichuruzikwa na udenda wa 'pre cum' kwenye boxer na mate ya kawaida hunijaa sana mdomoni nikiwa katika hali hiyo na kuyameza hushindwa!

Kurudi counter dosho hayupo, kenda wapi tena huyu!

Nikabana kimya dk 15 kumsubiri!

Uvumilivu ulivyonishinda nikampigia simu akapokea na kunambia katoka kidogo nisitoke nimsubiri.

Toka saa12 hadi saa4 kila nikipiga ananiplease nisitoke, ilipofika saa5 akaniblock rasmi.

Roho ikaanza kuniuma na kunienda mbio kama mtu niliyepoteza kitu chenye thamani kubwa, maana hata kwake sipajui.

Baada ya kublockiwa nikaanza kujilaumu kwa kumwacha counter pamoja na kuwaza mawazo ambayo hayakunisaidia kumpata.

Yaani mimi kanifanyia hivi kweli, hela ya pango iliwe kipumbafpumbaf bila chumba kutumika!

Alinijaza upepo, lakini si wa kupigana ama kugombana, hapana ni ile jazba ya kumkosa na kukikosa nilichodhamiria kukipata kwa muda huo.

Iliniuma sana na nikakiri kwamba siku hiyo alinikomoa.
Waja mnapitia mengi mno, Poleee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Kwa stori hii inaonekana umetumika sana hujui kukataa watu wanajipigia tu, mtoto maharage ya mbeya wewe
 
Wewe ni kivuruge endelea kuwachezea watoto WA watu eti kisa upo kwenye prime age.
Utakuja kushtuka 30 hii hapa unaanza kuhangaikia ndoa na hutoipata
 
Hata siwezi kufika huko mbali kote kwa jina la Yesu.
 
Back
Top Bottom