Hii ndiyo surprise niliyomfanyia x-wangu aliyetaka kupasha kiporo

Mimi sikutaka kumpa maumivu makubwa nilitaka kumkaushia baada ya kufika stendi ila nikaona angeniona mswahili sana, nikaamua bora nimpe moyo😁😁

Sema wewe huyo ex wako alikunyoosha au mliachana vibaya?
Hatukuachana vibaya kiviile!
Yeye alikuwa akinilazimisha ndoa bila mjadala, nikashituka nikammwaga.
 
Jamani mko wapi? Njoeni uku muone yule mgeni wa Jana mwenye jina la kitakatifu ameanza kumwaga sera za kishetani uku .
 
Naomba anayekuoa akufumue marinda kabisa. M2anamke hovyo😡😡😡😡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…