Binti Sayuni03
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 1,075
- 1,913
- Thread starter
-
- #121
Ni kweli lakini ungempanga mwenzio kama haupo tayari msubiri kuliko kumbwagaMkuu ndoa lazima kuwe na life plan.
Ukiwaza kimhemko kwa kutumia kichwa kidogo, baadaye inakucost sana.
Ulijuaje, hebu kunywa Pepsi hapo kwa mangiWanawake wenye tabia za kuhairisha makutano 🥶mnakuwaga na vitaqo vidogo
Ukimaanisha nini mkuu?Ndo ule umuhmu wa kuoa mwanamke bikra unapo onekana hapa.! Yohh bitch
Huyu siyo mpuuzi bali ni content crietor mmoja mzuri sana.mpuuzi fulani hivi unatupotezea muda....Binti Malaya
Sasa inatakiwa ujue huyu X ni chenga au zipoNakubaliana na wewe.
Kuna mtu na mtu sasa.
X Mwingine ukikutana naye lazima roho ikuume, lakini mwingine wala!
Kufika hapo had leo una wanaume zaidi ya wa 4,na hapo bado hujaolewa…Ukimaanisha nini mkuu?
Hiyo kitu hakiwezekani maana siendagi tena hizo sehemu hatarishiKwa jinsi unavyopenda kula hivyo, ni suala la muda tu kabla msururu wote wa hao maex wako haujapasha viporo
Hadi huyo ex ambaye hakuwa comfortable akahama meza na wana soon atawaacha wana atahama meza na wewe.
Kosa langu ni kumnyima ex au😢🥲Naomba anayekuoa akufumue marinda kabisa. M2anamke hovyo😡😡😡😡
Hapana mkuu hivi mtu kakukaushia mwaka mzima alafu anakuona leo anataka umpe kirahisi tu, aisee hii ngumu sanaMkuu wewe sema unao Wana kibao ndiyo maana unamuona mchizi kama kalai!
Umeshaachwa achwa hadi unaonekana kaman tambara bovuSiku moja asubuhi wakati natoka nyumbani kwenda mihangaikoni nikiwa stendi nikakutana na x- wangu, nilikuwa nina mwaka mzima sijawahi kumuona.
Nikasalimiana nae akaniuliza mbona nimepotea ananipigia sipokei, ni kweli aliwahi kunicheki WhatsApp sikujibu nilifuta kabisa. Nikamwambia mambo mengi nicheki leo, akaniambia sawa, nikaondoka kweli baadae alinicheki. Akaniambia anataka tuonane kanimiss sana na wakati huu akawa ananiita mpenzi wake😁😁 nikamwambia tuonane kesho leo nipo bize nimechoka then kesho naingia asubuhi kanibembeleza lakini niligoma.
Ikafika hiyo kesho mida ya usiku akaniambia nirequest bolt hadi kwake, nikamwambia mimi sijisikii kupanda hizo bolt nifate, akanibembeleza nirequest nikagoma, ikabidi anifate.
Akaja mpaka karibu na ofisini, akafika kanipigia nikatokea kwa hapo stendi nikamkuta maana alikuja na pikipiki yake, nikamwambia twende mahali tukapate dinner ndiyo tuondoke, kweli tukaenda hadi bar fulani na ilikuwa weekend, tulivyofika nikala yeye hakunywa chochote alisema alikuwa kalala amekuja kwaajili yangu.
Wakati nimeletewa chakula nakula hapo, mbele yetu ghafla nikamuona x-wangu mwingine tuliyeachana kwasababu flani flani hizi nitaeleza wakati mwingine. Huyu x wangu mwingine alikuwa na rafiki zake nilishtuka, ila nikawa normal tu, yeye sasa nikamuona anawanong"oneza marafiki zake wanageuka wananiangalia, nadhani hakutegemea kama tungekutana. Akaanza kunywa pombe kwa sifa mwishowe ikiabidi wahame meza na marafiki zake, naona hakuwa comfortable kukaa pale.
Huyu x-wangu niliyekuja nae hakuona chochote ndiyo kwanza alikuwa ananilazimisha nile chap tuondoke akanile, nikamaliza kula pale nikamwambia nipeleke nyumbani kwanza sijachukua nguo za kesho,.
Basi akanipeleka mpaka pale stendi aliponiona ile siku ya 1 nikamuacha pale nikamwambia narudi nilivyofika ndani nikamwambia mimi nalala tutaonana siku nyingine, akapiga sikupokea akatuma msg sikujibu. Hakunitafuta tena.
Kuna siku nilikutana nae njiani akanipa lifti, akanikumbushia nilichomfanyia ile siku, mimi nilimcheka sana. Hiyo ndiyo zawadi ya x- anaerudi kupasha kiporo.
Sasa si nachukua mafunzo niingie kwenye ndoa najua kila kituKufika hapo had leo una wanaume zaidi ya wa 4,na hapo bado hujaolewa…
Nani kakwambia hivyo mkuu?Umeshaachwa achwa hadi unaonekana kaman tambara bovu
Namna hiyo, naona wanaume wamechukizwa na mwanaume mwenzao kunyimwa😁Ex hachekewi akijirudisha una mna mnyoosha😀
Siku moja asubuhi wakati natoka nyumbani kwenda mihangaikoni nikiwa stendi nikakutana na x- wangu, nilikuwa nina mwaka mzima sijawahi kumuona.
Nikasalimiana nae akaniuliza mbona nimepotea ananipigia sipokei, ni kweli aliwahi kunicheki WhatsApp sikujibu nilifuta kabisa. Nikamwambia mambo mengi nicheki leo, akaniambia sawa, nikaondoka kweli baadae alinicheki. Akaniambia anataka tuonane kanimiss sana na wakati huu akawa ananiita mpenzi wake😁😁 nikamwambia tuonane kesho leo nipo bize nimechoka then kesho naingia asubuhi kanibembeleza lakini niligoma.
Ikafika hiyo kesho mida ya usiku akaniambia nirequest bolt hadi kwake, nikamwambia mimi sijisikii kupanda hizo bolt nifate, akanibembeleza nirequest nikagoma, ikabidi anifate.
Akaja mpaka karibu na ofisini, akafika kanipigia nikatokea kwa hapo stendi nikamkuta maana alikuja na pikipiki yake, nikamwambia twende mahali tukapate dinner ndiyo tuondoke, kweli tukaenda hadi bar fulani na ilikuwa weekend, tulivyofika nikala yeye hakunywa chochote alisema alikuwa kalala amekuja kwaajili yangu.
Wakati nimeletewa chakula nakula hapo, mbele yetu ghafla nikamuona x-wangu mwingine tuliyeachana kwasababu flani flani hizi nitaeleza wakati mwingine. Huyu x wangu mwingine alikuwa na rafiki zake nilishtuka, ila nikawa normal tu, yeye sasa nikamuona anawanong"oneza marafiki zake wanageuka wananiangalia, nadhani hakutegemea kama tungekutana. Akaanza kunywa pombe kwa sifa mwishowe ikiabidi wahame meza na marafiki zake, naona hakuwa comfortable kukaa pale.
Huyu x-wangu niliyekuja nae hakuona chochote ndiyo kwanza alikuwa ananilazimisha nile chap tuondoke akanile, nikamaliza kula pale nikamwambia nipeleke nyumbani kwanza sijachukua nguo za kesho,.
Basi akanipeleka mpaka pale stendi aliponiona ile siku ya 1 nikamuacha pale nikamwambia narudi nilivyofika ndani nikamwambia mimi nalala tutaonana siku nyingine, akapiga sikupokea akatuma msg sikujibu. Hakunitafuta tena.
Kuna siku nilikutana nae njiani akanipa lifti, akanikumbushia nilichomfanyia ile siku, mimi nilimcheka sana. Hiyo ndiyo zawadi ya x- anaerudi kupasha kiporo.
Kosa lako ni kuwa muhuni. Sii simple tuu ungemwambia kuwa am not interested rather than playing with money and emotionsKosa langu ni kumnyima ex au😢🥲
Ningemwambia hivyo angenisumbua bado ndiyo maana nikaamua nimuachie ukumbushoKosa lako ni kuwa muhuni. Sii simple tuu ungemwambia kuwa am not interested rather than playing with money and emotions
Sawa mkuu,All the best kwenye mafunzo.Sasa si nachukua mafunzo niingie kwenye ndoa najua kila kitu