Hii ndiyo surprise niliyomfanyia x-wangu aliyetaka kupasha kiporo

Hii ndiyo surprise niliyomfanyia x-wangu aliyetaka kupasha kiporo

Huyu siyo mpuuzi bali ni content crietor mmoja mzuri sana.

Angalia mada yake inavyokimbiza ina masaa awili, page tunaingia ya saba!

Watu wanampopoa, lakini inazidi kusonga kwa kasi ya upepo!

Tunashauriwa humu usichojipenda achana nacho na usichangie, unapita hivi kimya kimya.
Jibu zuri sana 😁👏
 
Dhamira  Kuu

1. Umalaya:
Ulienda na Ex wako mkakutana na Ex wako mwingine, na inawezekana ushauri wa kufanya ivo ulipewa na Ex mwingine
2. Njaa: Kukataa tu kuliwa mpaka uombe dina?

Dhamira nyinginezo
1. Utoto
2. Chai
 
Ila kupasha kiporo na kukila huwa ni kitamu sana kuliko chakula fresh.

Sijui huwa ni kwa nini tu!

Ikikupendeza siku moja pasha mkuu kwa masharti magumu ya kuishia hapo hapo, ni tamu!
Hiki kitu, nimejiapiza sitakuja kufanya aisee kwanza mimi nikiachana na mtu huwa nafuta kila kitu sitaki kumbukumbu yoyote, sitaki namna yoyote ya kurudiana nae itokee
 
Dhamira  Kuu

1. Umalaya:
Ulienda na Ex wako mkakutana na Ex wako mwingine, na inawezekana ushauri wa kufanya ivo ulipewa na Ex mwingine
2. Njaa: Kukataa tu kuliwa mpaka uombe dina?

Dhamira nyinginezo
1. Utoto
2. Chai
Sikuwa na njaa hata kidogo, niliamua tu kumpotezea muda kama yeye alivyonipotezea, sawa mtu mzima.
 
Hiyo kitu hakiwezekani maana siendagi tena hizo sehemu hatarishi
Ni suala la muda. Ninyi wadada mnaopenda kuachana na bwana zenu kwa vita na kuanza zile mbwembwe za kuonesha 'i have moved on and I don't give a damn' huwa mnarudi kutafunwa kirahisi tu, huyo mwamba ni kweli hajakukomalia pengine ni vile tu hakuhitaji sana.

Mimi huwa naachana kwa amani kabisa na maex wangu % kubwa tunaongea fresh, ila wale vichwa panzi wachache wanaotaka kuifany breakup kuwa ya ki movie movie sana na mbwembwe kibao ndo huwa nawajaza kwenye mfumo napasha napita hivi then wanarudi kwenye mbwembwe zao until further notice.
 
Mimi sikutaka iwe vita yeye ndiyo kasababisha kwanini anikaushie mwaka alafu kuonana tu atake show
 
Back
Top Bottom