Hii ndiyo surprise niliyomfanyia x-wangu aliyetaka kupasha kiporo

Sasa si ungekataa mapema, acha umalaya binti utakufa na ukimwi, na pesa yenyewe ya kununua ARV huna, maana inaonekana kabisa ni masikini wa kunuka.
Hakika mimi ni masikini kama wewe, masikini tunajuana
 
Ulienda na Bar na mwanaume wako wa zamani, ukakutana hapo na mwanaume wako mwingine wa zamani...alafu bila haya unajiita Binti Sayuni.....😳
Daaaah, kazi ipo. Halafu anachekelea na kuona raha kabisa kusimulia.
Siku moja asubuhi wakati natoka nyumbani kwenda mihangaikoni nikiwa stendi nikakutana na x- wangu, nilikuwa nina mwaka mzima sijawahi kumuona.

Nikasalimiana nae akaniuliza mbona nimepotea ananipigia sipokei, ni kweli aliwahi kunicheki WhatsApp sikujibu nilifuta kabisa. Nikamwambia mambo mengi nicheki leo, akaniambia sawa, nikaondoka kweli baadae alinicheki. Akaniambia anataka tuonane kanimiss sana na wakati huu akawa ananiita mpenzi wake😁😁 nikamwambia tuonane kesho leo nipo bize nimechoka then kesho naingia asubuhi kanibembeleza lakini niligoma.

Ikafika hiyo kesho mida ya usiku akaniambia nirequest bolt hadi kwake, nikamwambia mimi sijisikii kupanda hizo bolt nifate, akanibembeleza nirequest nikagoma, ikabidi anifate.

Akaja mpaka karibu na ofisini, akafika kanipigia nikatokea kwa hapo stendi nikamkuta maana alikuja na pikipiki yake, nikamwambia twende mahali tukapate dinner ndiyo tuondoke, kweli tukaenda hadi bar fulani na ilikuwa weekend, tulivyofika nikala yeye hakunywa chochote alisema alikuwa kalala amekuja kwaajili yangu.

Wakati nimeletewa chakula nakula hapo, mbele yetu ghafla nikamuona x-wangu mwingine tuliyeachana kwasababu flani flani hizi nitaeleza wakati mwingine. Huyu x wangu mwingine alikuwa na rafiki zake nilishtuka, ila nikawa normal tu, yeye sasa nikamuona anawanong"oneza marafiki zake wanageuka wananiangalia, nadhani hakutegemea kama tungekutana. Akaanza kunywa pombe kwa sifa mwishowe ikiabidi wahame meza na marafiki zake, naona hakuwa comfortable kukaa pale.

Huyu x-wangu niliyekuja nae hakuona chochote ndiyo kwanza alikuwa ananilazimisha nile chap tuondoke akanile, nikamaliza kula pale nikamwambia nipeleke nyumbani kwanza sijachukua nguo za kesho,.
Basi akanipeleka mpaka pale stendi aliponiona ile siku ya 1 nikamuacha pale nikamwambia narudi nilivyofika ndani nikamwambia mimi nalala tutaonana siku nyingine, akapiga sikupokea akatuma msg sikujibu. Hakunitafuta tena.

Kuna siku nilikutana nae njiani akanipa lifti, akanikumbushia nilichomfanyia ile siku, mimi nilimcheka sana. Hiyo ndiyo zawadi ya x- anaerudi kupasha kiporo.
1000285438.jpg
 
Attachments

  • 1000285438.jpg
    1000285438.jpg
    39.5 KB · Views: 1
Shida ni ipi hapo mkuu, hutaki kujifunza?
Nini sasa cha kujifunza hapo, mimi tukimalizana mkuu tumemalizana na sababu zinakuwa zipo wazi. Hata siku nikikukuta upo uchi sina taimu ya ngono na wewe tunabaki marafiki wa kawaida tu kama itafaa. Isipofaa pia sawa, ila napenda ifae
 
Kuna siku nilikutana nae njiani akanipa lifti, akanikumbushia nilichomfanyia ile siku, mimi nilimcheka sana. Hiyo ndiyo zawadi ya x- anaerudi ku MALAYA
 
Nini sasa cha kujifunza hapo, mimi tukimalizana mkuu tumemalizana na sababu zinakuwa zipo wazi. Hata siku nikikukuta upo uchi sina taimu ya ngono na wewe tunabaki marafiki wa kawaida tu kama itafaa. Isipofaa pia sawa, ila napenda ifae
Oooh sawa vizuri
 
Siku moja asubuhi wakati natoka nyumbani kwenda mihangaikoni nikiwa stendi nikakutana na x- wangu, nilikuwa nina mwaka mzima sijawahi kumuona.

Nikasalimiana nae akaniuliza mbona nimepotea ananipigia sipokei, ni kweli aliwahi kunicheki WhatsApp sikujibu nilifuta kabisa. Nikamwambia mambo mengi nicheki leo, akaniambia sawa, nikaondoka kweli baadae alinicheki. Akaniambia anataka tuonane kanimiss sana na wakati huu akawa ananiita mpenzi wake😁😁 nikamwambia tuonane kesho leo nipo bize nimechoka then kesho naingia asubuhi kanibembeleza lakini niligoma.

Ikafika hiyo kesho mida ya usiku akaniambia nirequest bolt hadi kwake, nikamwambia mimi sijisikii kupanda hizo bolt nifate, akanibembeleza nirequest nikagoma, ikabidi anifate.

Akaja mpaka karibu na ofisini, akafika kanipigia nikatokea kwa hapo stendi nikamkuta maana alikuja na pikipiki yake, nikamwambia twende mahali tukapate dinner ndiyo tuondoke, kweli tukaenda hadi bar fulani na ilikuwa weekend, tulivyofika nikala yeye hakunywa chochote alisema alikuwa kalala amekuja kwaajili yangu.

Wakati nimeletewa chakula nakula hapo, mbele yetu ghafla nikamuona x-wangu mwingine tuliyeachana kwasababu flani flani hizi nitaeleza wakati mwingine. Huyu x wangu mwingine alikuwa na rafiki zake nilishtuka, ila nikawa normal tu, yeye sasa nikamuona anawanong"oneza marafiki zake wanageuka wananiangalia, nadhani hakutegemea kama tungekutana. Akaanza kunywa pombe kwa sifa mwishowe ikiabidi wahame meza na marafiki zake, naona hakuwa comfortable kukaa pale.

Huyu x-wangu niliyekuja nae hakuona chochote ndiyo kwanza alikuwa ananilazimisha nile chap tuondoke akanile, nikamaliza kula pale nikamwambia nipeleke nyumbani kwanza sijachukua nguo za kesho,.
Basi akanipeleka mpaka pale stendi aliponiona ile siku ya 1 nikamuacha pale nikamwambia narudi nilivyofika ndani nikamwambia mimi nalala tutaonana siku nyingine, akapiga sikupokea akatuma msg sikujibu. Hakunitafuta tena.

Kuna siku nilikutana nae njiani akanipa lifti, akanikumbushia nilichomfanyia ile siku, mimi nilimcheka sana. Hiyo ndiyo zawadi ya x- anaerudi kupasha kiporo.
Ila we kijana ulifanya uuaji ule serikali inatakiwa ikutazame mara mbili mbili zaidi😂😂
 
Back
Top Bottom