To me, Magufuli is Overrated.Unajua si jambo dogo mzee. Speed ya KM 1000 ni kasi ya kimaendeleo. Hiyo mwanza unaenda na kurudi kama vile unaenda mbezi tu hapo.
Hizi ndio vitu tunataka kuona katika uchumi wetu. Aisee nina uhakika mzee wetu mpendwa Magufuli angelikuwapo huku tungefikia tena ndani ya miaka michache ya baadae. View attachment 3064296View attachment 3064295
Dar- kigoma hiyo duuh hatari,japo mpaka kigoma kuna kama 1200 hiviChina imekamilisha jaribio la usafiri wa treni aina ya maglev yenye kasi ya juu (UHS), kuashiria hatua nyingine muhimu kwa aina hiyo ya usafiri inayoweza kusafiri kwa kasi ya hadi maili 621 kwa saa sawa na kilometer 1,000 kwa saa.
View attachment 3064287
Jaribio hilo lilifanyika katika mkoa wa Shanxi unaopatikana kaskazini mwa China.
Hili lilikuwa jaribio la kwanza na kubwa lililokamilika kwa mfumo wa usafirishaji kwa kutumia umeme wa bomba pana lililo wazi (utupu) UHS.
Mojawapo ya mafanikio makubwa yaliyopatikana wakati wa jaribio hilo ni kwamba ilithibitisha kuwa mazingira ya uwazi uliopo kwenye bomba hilo kwa umbali mrefu yanaweza kufanya spidi kuwa kubwa zaidi na kudumisha kwa kiwango kikubwa.
China ilianza kujenga mfumo wa usafiri wa UHS maglev katika Kaunti ya Yanggao mwaka wa 2022, mfumo huo unalenga kuunganisha teknolojia ya anga na mfumo wa usafiri wa reli kwa lengo la kuendesha treni kwa kasi ya maili 621 kwa saa.
Vipi umejaribu kupanda sgr?Kweli wenzetu wameadvance, 1000kph sio mchezo hata kidogo. Hapa na Moro ni 0.2hrs
Vyuma havisuguani mkuu,wanatumia tech ya MAGnetic LEVitation (MAGLEV) uliza zaidi kuhusu hiyo tech, ni ya ajabu kidogoKwa kasi hiyo, hivyo vyuma si vitawaka moto. Msuguano utakaokuwapo hapo si wa kitoto.
Hio treni hata USA haipo, ndio aje aiweke Magu bongoUnajua si jambo dogo mzee. Speed ya KM 1000 ni kasi ya kimaendeleo. Hiyo mwanza unaenda na kurudi kama vile unaenda mbezi tu hapo.
Hizi ndio vitu tunataka kuona katika uchumi wetu. Aisee nina uhakika mzee wetu mpendwa Magufuli angelikuwapo huku tungefikia tena ndani ya miaka michache ya baadae. View attachment 3064296View attachment 3064295
You might be right! Ila kumbuka JPM alikuwa na ndoto ya kuona TZ inapiga hatua. Hili kubali au kataa, hiyo ni husda wako kwake. Usisahau wakati ule mlikuwa mnampinga kuwa yeye anaangalia maendeleo ya vitu si watu. Hata TL alikuwa anaipigia kelele. Wenye akili tulikuwa tunawaeleza kuwa maendeleo ya nchi ni vitu (infrastructure) kwanzaTo me, Magufuli is Overrated.
kitu inatembelea inchi kadhaa kutoka chini, ila hyo magnetism ikifanya kama imekohoa hapo si itakuwa hatari kubwaVyuma havisuguani mkuu,wanatumia tech ya MAGnetic LEVitation (MAGLEV) uliza zaidi kuhusu hiyo tech, ni ya ajabu kidogo
Sijapanda mkuu. Siku nikipata safari ya Dom nitapandaVipi umejaribu kupanda sgr?
Nikualike basi tukapate msosi Dom urudi kwko?🤣Sijapanda mkuu. Siku nikipata safari ya Dom nitapanda