Hii ndiyo treni yenye spidi ya kasi sawa na ndege, nilidhani uongo kumbe kweli

Hii ndiyo treni yenye spidi ya kasi sawa na ndege, nilidhani uongo kumbe kweli

So Communism has worked for China, brought it to an unprecedented heights of innovation and astronomical levels of wealth.

Meanwhile, Capitalism is driving the collective west into an endless black-hole of debt, consumerism, extreme inequality and moral decadence.

I'm now candidly observing China, and learning new things about The Art of Statecraft. 🤔​
 
China imekamilisha jaribio la usafiri wa treni aina ya maglev yenye kasi ya juu (UHS), kuashiria hatua nyingine muhimu kwa aina hiyo ya usafiri inayoweza kusafiri kwa kasi ya hadi maili 621 kwa saa sawa na kilometer 1,000 kwa saa.

View attachment 3064287

Jaribio hilo lilifanyika katika mkoa wa Shanxi unaopatikana kaskazini mwa China.

Hili lilikuwa jaribio la kwanza na kubwa lililokamilika kwa mfumo wa usafirishaji kwa kutumia umeme wa bomba pana lililo wazi (utupu) UHS.

Mojawapo ya mafanikio makubwa yaliyopatikana wakati wa jaribio hilo ni kwamba ilithibitisha kuwa mazingira ya uwazi uliopo kwenye bomba hilo kwa umbali mrefu yanaweza kufanya spidi kuwa kubwa zaidi na kudumisha kwa kiwango kikubwa.

China ilianza kujenga mfumo wa usafiri wa UHS maglev katika Kaunti ya Yanggao mwaka wa 2022, mfumo huo unalenga kuunganisha teknolojia ya anga na mfumo wa usafiri wa reli kwa lengo la kuendesha treni kwa kasi ya maili 621 kwa saa.
Sisi ngoja tuendelee kupambana na Ngedere na Bundi kwanza kwenye Treni ya Mchongo
 
Kwa ufupi iko hivi kanuni ya usumaku ni kwamba pande zinazofanana zinakinzana sasa hapa kinachofanyika ni kwamba mataruma na reli vinasumakishwa kwa umeme ambapo mataruma na reli vyote vinapewa hali ya ufanano kiusumaku kwahiyo vitakinzana na kwamaana hiyo treni ya aina hii mataruma yake ikitembea hayagusani na reli hivyo treni inakuwa kama inaelea kwenye mataruma na pale inaposimama inashuka na kugusa mataruma.
I wonder how powerful electromagnets are being used,
maana repelling force ya kunyenyua tani kadhaa Ni lazima current inayomagnetize Iwe kubwa sana
 
Hizi ndio vitu tunataka kuona katika uchumi wetu.
Watu wenyewe tulionao ndiyo hawa karne hii wanawaza na kushangaa fisi

1723105298223.png
 
Unajua si jambo dogo mzee. Speed ya KM 1000 ni kasi ya kimaendeleo. Hiyo mwanza unaenda na kurudi kama vile unaenda mbezi tu hapo.

Hizi ndio vitu tunataka kuona katika uchumi wetu. Aisee nina uhakika mzee wetu mpendwa Magufuli angelikuwapo huku tungefikia tena ndani ya miaka michache ya baadae. View attachment 3064296View attachment 3064295
Acha utani mkuu, kwamba JPM angekuwepo tungeliweza ndani ya miaka michache? Si kweli hata kidogo, hiyo ni ndoto.
 
Back
Top Bottom