Magufuri hamna kitu ndiye chanzo cha matatzo mengi sana yule hakuwa kiongozi kbs kama alikuwa na nia ya dhati na taifa hili na watz angekubali kuishi vema na wale wanaomkosoa tena ingemsaidia sn
Pili angeleta katiba mpya si katiba hii ya ku save interest za chama chake na yeye bnafsi
Tatu angejiweka kando na ccm awe rais si kuleta uccm wake hapa fatilia hata ziara zake nyng utagundua hilo
Nne kitendo cha kutaka kutawala milele bila kikomo hakika alistahili kuenguliwa kama ilivyotokea angetuleta matatzo makubwa sn ya waasi
Taifa hili lilipata kiongoz 1 tu naye ni Nyerere hakuwa mroho wa madaraka hakujitajirisha na hata alipoachia madaraka alikaa kando kbs alitunza raslimali za taifa hili kwa maslahi ya kzazi kijacho.
Magufuri alikuwa muongo sn anadanganya watu na kujitangaza kila uchwao lakini kiuhalisia he was overrated tu.