Sana tu, JPM sifa ndio zilikuwa nyingi na umimi uliopitiliza. Hizo ndege tu zimetuacha na madeni, bado hasara kila mwaka na hazina ufanisi wowote. Alikuwa na uthubutu ila hakuwa strategic wala hakupenda kushauriwa, ilikuwa ni one man show.To me, Magufuli is Overrated.