Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Wakati mwingine sio vibaya kuona progress tulizopiga kama Nchi badala ya kujaribu kushindana na wenye misuli kutuzidi.Good analysis that's written by the GT of JF.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Kuna Nchi tangu Mwaka 1940 ilishakuwa na MaProfesa zaidi ya 2,000 wakati sisi hadi Mwaka 1990 tulikuwa na MaProfesa hawazidi 20
Suala la maendeleo sio la Siku 1