Angalia mkeka wa A level hata Prof Muhongo alikea hilo kwamba siyo sawa tunadidimiza taifa, tahasuayza dini zinakuwa nyingi kuliko science.Tahasusi gani za kidini zimeongezeka? Ni huko A level?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angalia mkeka wa A level hata Prof Muhongo alikea hilo kwamba siyo sawa tunadidimiza taifa, tahasuayza dini zinakuwa nyingi kuliko science.Tahasusi gani za kidini zimeongezeka? Ni huko A level?
Mkuu ukitaka kujifunza haya, inakuaje, ujue najaribuu ku imagine yaani inakuaje kuaje ?, ten kwa ch kama.tz?Wanawekeza, serikali inaruhusu free tech kuzalisha huku yenyewe ikiwasupport na kuhakikisja hakuna mtu anabaki nyuma, pia kukiwa na tech mpya yenye faida kwa taifa serikali inatoa funds.
Angalia kile kigari cha Masoud Kipanya!.
We're dark continent, unajua kwa nini? - kwa sababu...Mkuu ukitaka kujifunza haya, inakuaje, ujue najaribuu ku imagine yaani inakuaje kuaje ?, ten kwa ch kama.tz?
Sawa mkuu lakin ukiingia mwenyewejawa weupe c watakumaliza kwakuwa unataka kuharibu soko lao?, au kuwafungua akili waafrica?We're dark continent, unajua kwa nini? - kwa sababu...
• Nchi za kiafrika ndizo zenye malighafi inayoendesha dunia.
• Nchi za kiafrika ndizo zenye uwezo mkubwa kuliko za ulaya.
• Nchi za kiafrika ndizo zimekosa viongozi wenye nguvu na maamuzi magumu, kufanya haya mapinduzi ya kisayansi tunayoyaona.
• Nchi za kiafrika hazina viongozi wenye maamuzi magumu, hata akiwepo hataungwa mkono na wenzake.
• Mfano tuna chuma hapa Tanzania lakini hakina faida maana viongozi wanajua wanachofanya, chuma hicho ndicho kikifika china wanafanya mapinduzi kama inavyoona.
• Angalia DRC inazalisha madini yanayounda simu au zile gari za Elon, lakini angalia pale Goma kinachofanyika.
Mambo ni mengi sana, ila ingia uwanjani ufanye mapinduzi wewe mwenyewe, usitegemee nani sijui.