Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
Ne da katafute huko,miaka 10 sasa hizo treni zipo magnetic.
Una hoja dhaifu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ne da katafute huko,miaka 10 sasa hizo treni zipo magnetic.
Kwahiyo tuache kupeleka watoto shule, tusubiri tuwe kama china??Kwani wangapi wana elimu hapa Tanzania lakini hawajagundua chochote??!!! Kubali tu kuwa Bongo zetu Waafrika zimelala
Alikuwa bonge la mshamba Fulani hivi!Hiyo upo sahihi na ndiyo maana alianza kukumbatia akina Rostam Azizi baada ya kuelewa ukweli kuwa mambo si rahisi kama alivyofikiria. Na hilo kosa lilicost maisha yake.
Wewe tunaenda pamoja!.Hii ndo nguvu ya magnetic Levitation
Magnetic levitation (maglev) or magnetic suspension is a method by which an object is suspended with no support other than magnetic fields. Magnetic force is used to counteract the effects of the gravitational acceleration and any other accelerations.
Maglev ni kama treni inakuwa inaelea juu ya reli na si train ya kwanza, ziko china na japan nadhani na korea sema hii imearchieve speed zaidi lakini zote huwa zina speed kali.Kwa kasi hiyo, hivyo vyuma si vitawaka moto. Msuguano utakaokuwapo hapo si wa kitoto.
HahahahaHalafu bado kuna mtu anataka sayansi ifundishwe kwa kiswahili mashuleni..!!! Tuendelee kusumakishana na haya mambo ya mifurumbato
mchina anazo treni kadhaa za maglev hii imeafikia kasi mpya. Hizi treni hata wazungu wenyewe wanazishangaa kama ni mfuatiliaji wa page za china na YT channels za matravellers maana hata huko marekani na ulaya hakuna kwa sababu ya ughali wa kuzitengeneza na kuziendesha.mchina nyoko, kashampita jpan maana ya jp inaenda 600km/hr
Itoshe kusema kuna binadamu vichwa vyao vinashughulika ipasavyo.Kwa ufupi iko hivi kanuni ya usumaku ni kwamba pande zinazofanana zinakinzana sasa hapa kinachofanyika ni kwamba mataruma na reli vinasumakishwa kwa umeme ambapo mataruma na reli vyote vinapewa hali ya ufanano kiusumaku kwahiyo vitakinzana na kwamaana hiyo treni ya aina hii mataruma yake ikitembea hayagusani na reli hivyo treni inakuwa kama inaelea kwenye mataruma na pale inaposimama inashuka na kugusa mataruma.
Unaota ndoto za Alinacha.Unajua si jambo dogo mzee. Speed ya KM 1000 ni kasi ya kimaendeleo. Hiyo mwanza unaenda na kurudi kama vile unaenda mbezi tu hapo.
Hizi ndio vitu tunataka kuona katika uchumi wetu. Aisee nina uhakika mzee wetu mpendwa Magufuli angelikuwapo huku tungefikia tena ndani ya miaka michache ya baadae. View attachment 3064296View attachment 3064295
kwan mkuu nimesema hii ndo maglev train ya kwanza uchina?mchina anazo treni kadhaa za maglev hii imeafikia kasi mpya. Hizi treni hata wazungu wenyewe wanazishangaa kama ni mfuatiliaji wa page za china na YT channels za matravellers maana hata huko marekani na ulaya hakuna kwa sababu ya ughali wa kuzitengeneza na kuziendesha.