Kiufupi hizo ndio zile wanaita bullet trains , na no nchi chache wamefanikiwa kuwa nazo , Germany napo hii project ilikuwa kwa majaribio ,sijajua wamefikia wapi sasa hivi , Japan , Southern Korea na huyu China Kwa sasaBalaa tupu 😂😂😂
Ila naamini lazima ndani kitakuwa na Cabin Pressurization System kama kwenye ndege ili kupunguza madhila ya nje. Hapo sasa itakuwa hakuna kifungua vioo mpaka safari iishe.