Hii ndiyo treni yenye spidi ya kasi sawa na ndege, nilidhani uongo kumbe kweli

Hii ndiyo treni yenye spidi ya kasi sawa na ndege, nilidhani uongo kumbe kweli

Hizi kauli huwa zinatumika sana na wengi wetu pale tunapotaka kujifananisha na weupe kwa chochote kile lakini mimi naona hazina maana wala tija linapokuja suala la maendeleo,mweupe ni mweupe tu aamini Mungu aamini shetani hakuna rangi nyeusi wa kujifananisha nae yaani hayupo.

Kwani sisi Africa hatuna wasioamini habari za Mungu Yesu sijui shetani?atheist wapo chungu mbovu even humu wapo haya wamegundua nini cha maana?coz kama point inayofanya tushindwe kwenda kasi ni kuamini Mungu or whatever wale tunaosema hizo habari siyo za kweli tuamke tufanye chochote cha kujitofautisha na wanazoamini.
Ndio yale yale unakuta mtu kisogo kirefu anakwambia wanaoamini Mungu hawajielewi,wakati wamemzidi kila kitu mpaka hup urefu wa kisogo na yeye pamoja na kuwa haamini Mungu bado amepauka,sasa sijui huwa wanataka kuhalalisha jambo gani!!!
 
You might be right! Ila kumbuka JPM alikuwa na ndoto ya kuona TZ inapiga hatua. Hili kubali au kataa, hiyo ni husda wako kwake. Usisahau wakati ule mlikuwa mnampinga kuwa yeye anaangalia maendeleo ya vitu si watu. Hata TL alikuwa anaipigia kelele. Wenye akili tulikuwa tunawaeleza kuwa maendeleo ya nchi ni vitu (infrastructure) kwanza
Hiyo ni kufuru tu uisemayo. Huyo bwana alikuwa so much overrated kama ilivyosemwa hapo juu. Penda sifa asizozifanya. Hatukopi huku anakopa!
 
Unajua si jambo dogo mzee. Speed ya KM 1000 ni kasi ya kimaendeleo. Hiyo mwanza unaenda na kurudi kama vile unaenda mbezi tu hapo.

Hizi ndio vitu tunataka kuona katika uchumi wetu. Aisee nina uhakika mzee wetu mpendwa Magufuli angelikuwapo huku tungefikia tena ndani ya miaka michache ya baadae. View attachment 3064296View attachment 3064295
Umeanza vizuri umeharibu mwisho.magufuli wa Nini??
 
You might be right! Ila kumbuka JPM alikuwa na ndoto ya kuona TZ inapiga hatua. Hili kubali au kataa, hiyo ni husda wako kwake. Usisahau wakati ule mlikuwa mnampinga kuwa yeye anaangalia maendeleo ya vitu si watu. Hata TL alikuwa anaipigia kelele. Wenye akili tulikuwa tunawaeleza kuwa maendeleo ya nchi ni vitu (infrastructure) kwanza
Ila mengine mnakua kama mnampa umungu mtu, yaani kwamba Magu angekaa hiyo 5yrs iliyobaki tungekua kama china kwa miundombinu??

Acheni utani wajameni.
 
Unajua si jambo dogo mzee. Speed ya KM 1000 ni kasi ya kimaendeleo. Hiyo mwanza unaenda na kurudi kama vile unaenda mbezi tu hapo.

Hizi ndio vitu tunataka kuona katika uchumi wetu. Aisee nina uhakika mzee wetu mpendwa Magufuli angelikuwapo huku tungefikia tena ndani ya miaka michache ya baadae. View attachment 3064296View attachment 3064295
Vingine tuna exaggerate (sorry to say this)Swali la kujiuliza wenzetu China wametumia miaka mingapi kufika kwenye hiyo tecknolojia?Bado tuna safari jamani hata angekuwepo the late Magufuli.
 
Leo nataka nibaki JF na rafk angu wa kike, wengine nendeni kwenye mpira mniachie jukwaa
 
China ilianza kujenga mfumo wa usafiri wa UHS maglev katika Kaunti ya Yanggao mwaka wa 2022, mfumo huo unalenga kuunganisha teknolojia ya anga na mfumo wa usafiri wa reli kwa lengo la kuendesha treni kwa kasi ya maili 621 kwa saa.
Mchawi mtelemko tu hapo hata Sisi tunaweza Reli ijengwe kwenye mtelemko treni inaseleleka tu speed za ajabu kwa saa inapitiliza mpaka kituo
 
Back
Top Bottom