EricMan
JF-Expert Member
- Oct 5, 2017
- 3,050
- 5,420
wew unawaza saivi wenzako waliwaza kabla ya kuitengenezaKwa kasi hiyo, hivyo vyuma si vitawaka moto. Msuguano utakaokuwapo hapo si wa kitoto.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wew unawaza saivi wenzako waliwaza kabla ya kuitengenezaKwa kasi hiyo, hivyo vyuma si vitawaka moto. Msuguano utakaokuwapo hapo si wa kitoto.
Wewe unaijua maglev?
Hiii umedhihirisha kuwa hauna uelewa unachokichangia hapa.
Hawa jamaa ni noma sana kuna video moja ninayo ya Shanghai MAGLEV ya 2016 spidi ya 431 kilometers kwa saaHii kitu ina mwendo hatari
Na wewe kichwanu zeroWewe unaijua maglev?
Hiii umedhihirisha kuwa hauna uelewa unachokichangia hapa.
wenzetu wanafikiri sie tunawaza kuiba hela kwenda kuringishiana mademu wenye matakoKweli wenzetu wameadvance, 1000kph sio mchezo hata kidogo. Hapa na Moro ni 0.2hrs yaani 12mins..duh!
Yani ujue siipatii picha mkuu. Unaweza kuishi mji wowote na kufanya kazi mji unaoutaka. Unaishi Dodoma na kufanya kazi daslam bila shida kabisa.🤣 Humo hashuki mtu yani, kituo Dar kituo Moro
Ndio yale yale unakuta mtu kisogo kirefu anakwambia wanaoamini Mungu hawajielewi,wakati wamemzidi kila kitu mpaka hup urefu wa kisogo na yeye pamoja na kuwa haamini Mungu bado amepauka,sasa sijui huwa wanataka kuhalalisha jambo gani!!!Hizi kauli huwa zinatumika sana na wengi wetu pale tunapotaka kujifananisha na weupe kwa chochote kile lakini mimi naona hazina maana wala tija linapokuja suala la maendeleo,mweupe ni mweupe tu aamini Mungu aamini shetani hakuna rangi nyeusi wa kujifananisha nae yaani hayupo.
Kwani sisi Africa hatuna wasioamini habari za Mungu Yesu sijui shetani?atheist wapo chungu mbovu even humu wapo haya wamegundua nini cha maana?coz kama point inayofanya tushindwe kwenda kasi ni kuamini Mungu or whatever wale tunaosema hizo habari siyo za kweli tuamke tufanye chochote cha kujitofautisha na wanazoamini.
Hiyo ni kufuru tu uisemayo. Huyo bwana alikuwa so much overrated kama ilivyosemwa hapo juu. Penda sifa asizozifanya. Hatukopi huku anakopa!You might be right! Ila kumbuka JPM alikuwa na ndoto ya kuona TZ inapiga hatua. Hili kubali au kataa, hiyo ni husda wako kwake. Usisahau wakati ule mlikuwa mnampinga kuwa yeye anaangalia maendeleo ya vitu si watu. Hata TL alikuwa anaipigia kelele. Wenye akili tulikuwa tunawaeleza kuwa maendeleo ya nchi ni vitu (infrastructure) kwanza
Inakuwa unyama sana😄Yani ujue siipatii picha mkuu. Unaweza kuishi mji wowote na kufanya kazi mji unaoutaka. Unaishi Dodoma na kufanya kazi daslam bila shida kabisa.
Khaa ninune ili iweje.Hata ukinuna, ukweli ndiyo huo.
Hayo yote unafikiri hawajayaweka maanani au kuyazingatia?Kwa kasi hiyo, hivyo vyuma si vitawaka moto. Msuguano utakaokuwapo hapo si wa kitoto.
Umeanza vizuri umeharibu mwisho.magufuli wa Nini??Unajua si jambo dogo mzee. Speed ya KM 1000 ni kasi ya kimaendeleo. Hiyo mwanza unaenda na kurudi kama vile unaenda mbezi tu hapo.
Hizi ndio vitu tunataka kuona katika uchumi wetu. Aisee nina uhakika mzee wetu mpendwa Magufuli angelikuwapo huku tungefikia tena ndani ya miaka michache ya baadae. View attachment 3064296View attachment 3064295
BAbu nimekumiss mbona nane nane hunitoi basi babu out unakwama wapi??To me, Magufuli is Overrated.
HakikaMtwara dar nusu saa duh aisee itachukua miaka 2000 kuwafikia china au 200 wakuu?
Nachosikitika sikuuona uzur wake mpaka baada ya yeye kufa hiki ndio huwa kinaniumaVery fact bro
Ila mengine mnakua kama mnampa umungu mtu, yaani kwamba Magu angekaa hiyo 5yrs iliyobaki tungekua kama china kwa miundombinu??You might be right! Ila kumbuka JPM alikuwa na ndoto ya kuona TZ inapiga hatua. Hili kubali au kataa, hiyo ni husda wako kwake. Usisahau wakati ule mlikuwa mnampinga kuwa yeye anaangalia maendeleo ya vitu si watu. Hata TL alikuwa anaipigia kelele. Wenye akili tulikuwa tunawaeleza kuwa maendeleo ya nchi ni vitu (infrastructure) kwanza
Vingine tuna exaggerate (sorry to say this)Swali la kujiuliza wenzetu China wametumia miaka mingapi kufika kwenye hiyo tecknolojia?Bado tuna safari jamani hata angekuwepo the late Magufuli.Unajua si jambo dogo mzee. Speed ya KM 1000 ni kasi ya kimaendeleo. Hiyo mwanza unaenda na kurudi kama vile unaenda mbezi tu hapo.
Hizi ndio vitu tunataka kuona katika uchumi wetu. Aisee nina uhakika mzee wetu mpendwa Magufuli angelikuwapo huku tungefikia tena ndani ya miaka michache ya baadae. View attachment 3064296View attachment 3064295
Mchawi mtelemko tu hapo hata Sisi tunaweza Reli ijengwe kwenye mtelemko treni inaseleleka tu speed za ajabu kwa saa inapitiliza mpaka kituoChina ilianza kujenga mfumo wa usafiri wa UHS maglev katika Kaunti ya Yanggao mwaka wa 2022, mfumo huo unalenga kuunganisha teknolojia ya anga na mfumo wa usafiri wa reli kwa lengo la kuendesha treni kwa kasi ya maili 621 kwa saa.