chai ya rangi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2026
- 1,042
- 3,095
hawa huwa wanafanya kazi za kukaa wapweke muda mrefu mfano: Kuuza mapazia, kuuza mabegi, kuuza cover za simu n.k
hawa watu utawakuta maranyingi wamekaa dukani kusubiri wateja. mtu kama MIN -mi atakua anafanya kazi ya kuuza duka la dawa kwasababu anaonekana ni mdau wa afya. hivyo muda wa kusubiri wateja anautumia kupitia nyuzi za JF moja baada ya nyingine
wengine ambao wanashinda online usiku wengi wao ni walinzi na manesi na wanaojaza mafuta sheli
kwaiyo nimeona nitoe muongozo kwasababu watu wengi hudhani hao ni jobless ila pia watu ambao hawaingii mara kwa mara na kujiona wapo busy wengi wao hufanya kazi punda mfano kubeba mizigo, kutembeza vitu mtaani, saidia fundi na kazi nyingine za kushughulisha mchana kutwa hivyo kukosa muda wa kushika simu