Anamaanisha wanaume wanaoshinda jf ni magasho!Hapa cjaelewa kinachomaanishwa. Mtu anifufunulie cjui anifafanulie kidogo au ni mimi konyagi zimenishika.
Vipi nikufungie ngapi?Aisee.
Lisemwalo lipo.
Praise team!umewasahau wale buku 7 ...wazee wa kusifu na kuabudu🤣🤣...
Kumbe mmenifungulia na saluni hafu hamsemi😱Umefeli huyo ni mmiliki wa Saluni ya kike hapo mjini kati
Wewe unasubiri wateja kilingeniwengine ambao wanashinda online usiku wengi wao ni walinzi na manesi na wanaojaza mafuta sheli
😂Mimi sijui niko wapi maana 24/7 niko online
Kazi ya nini kama hujaombwa ela ya kula unaumia sehemu gani?Utakuta mtu kwa siku comments zake kila uzi zipo, yani kwa siku ana comments zinafika mpaka mia 5 huwa najiuliza mtu huyu anafanya kazi muda gani .
Oya unataka tukafukue lile kaburi lako kule au siku ile bangi zilikua nyingi? Ina maana ushasahau?Kumbe mmenifungulia na saluni hafu hamsemi😱
Basi fanya mambo yako!Hapana.
Sio mambo yangu.
Nakupitia hapo ulipo nikupeleke sehemu tuka-chill huku tunaperuzi JFKazi ya nini kama hujaombwa ela ya kula unaumia sehemu gani?
Nitag nione huenda nilijipaka bangi sikumbuki!Oya unataka tukafukue lile kaburi lako kule au siku ile bangi zilikua nyingi? Ina maana ushasahau?
Itakua ulikula bangi nyingi siku hio mpaka umesahauNitag nione huenda nilijipaka bangi sikumbuki!
Siku nyingine ukichukua hicho kitu cha Malawi mixa Zimbabwe naomba unishtue tupige woteNitag nione huenda nilijipaka bangi sikumbuki!