chai ya rangi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2026
- 1,042
- 3,095
Empty sethawa huwa wanafanya kazi za kukaa wapweke muda mrefu mfano: Kuuza mapazia, kuuza mabegi, kuuza cover za simu n.k
hawa watu utawakuta maranyingi wamekaa dukani kusubiri wateja. mtu kama MIN -mi atakua anafanya kazi ya kuuza duka la dawa kwasababu anaonekana ni mdau wa afya. hivyo muda wa kusubiri wateja anautumia kupitia nyuzi za JF moja baada ya nyingine
wengine ambao wanashinda online usiku wengi wao ni walinzi na manesi na wanaojaza mafuta sheli
kwaiyo nimeona nitoe muongozo kwasababu watu wengi hudhani hao ni jobless ila pia watu ambao hawaingii mara kwa mara na kujiona wapo busy wengi wao hufanya kazi punda mfano kubeba mizigo, kutembeza vitu mtaani, saidia fundi na kazi nyingine za kushughulisha mchana kutwa hivyo kukosa muda wa kushika simu
Empty set = {}Empty set
Ety anasema wewe unabeba mizigo mchana kutwa kiasi ambacho unashindwa kushika simuUmechanganyikiwa wewe.
Ni waoooumewasahau wale buku 7 ...wazee wa kusifu na kuabuduš¤£š¤£...
konyagi ikishuka utaelewa.Hapa cjaelewa kinachomaanishwa. Mtu anifufunulie cjui anifafanulie kidogo au ni mimi konyagi zimenishika.
Amesema unafanya kazi ngumu sana kiasi ambacho unachoka mno mpaka kushika simu kwako changamotoHapa cjaelewa kinachomaanishwa. Mtu anifufunulie cjui anifafanulie kidogo au ni mimi konyagi zimenishika.
Umefeli huyo ni mmiliki wa Saluni ya kike hapo mjini katimfano Seran atakua anauza mapazia
Hao wana muda waoumewasahau wale buku 7 ...wazee wa kusifu na kuabuduš¤£š¤£...