Ongea na Vincenzo Jr vizuri..Siku nyingine ukichukua hicho kitu cha Malawi mixa Zimbabwe naomba unishtue tupige wote
Thread 'Income ipo, expenses za ofisi zipo chini yake lakini profit haiendani na juhudi' Income ipo, expenses za ofisi zipo chini yake lakini profit haiendani na juhudi
Ndio mumeo wa JF?Ongea na Vincenzo Jr vizuri..
Pistol ipo wapi? Mboni umekaa kihasara hivyo?Nafirahia nikiwa hapa tajiri!View attachment 3571940
Ni fupi mnoRisech yako imejaa unafki mtupu
Anko wangu! We uko negative sana!Ndio mumeo wa JF?
Relax basi kidogo tulia hivyo hivyo hapo ulipo nakupitia km upepoAnko wangu! We uko negative sana!
Pistol yanini sasa niko vitani hapo?Pistol ipo wapi? Mboni umekaa kihasara hivyo?
Unapajua?Relax basi kidogo tulia hivyo hivyo hapo ulipo nakupitia km upepo
Huna vibundaa hapo ulinzi unaanza na wewePistol yanini sasa niko vitani hapo?
Toa location Google mapUnapajua?
Aaah hadi twitter mnasengenyana🤣🤣Kuna mwingine huko twitter anadai nafanya kazi bar kama meneja 🤣🤣🤣🤣🤣
Wa Tz ni wale wale humo twitter kwanza wanaona jf ni great thinkers watupu🤣Aaah hadi twitter mnasengenyana🤣🤣
Bora mie saidia fundi.
Hahaha nimecheka kwa kunyatanyataLeo nimepata nafsi ya kuchungulia huku kisha nakutana na hii hbr siyo ya kweli kbs ni uzushi na uongo
Navitoa wapi jobless..Huna vibundaa hapo ulinzi unaanza na wewe
SawaToa location Google map
sa hapa ndio nazidi kuongeza zaidi so cjui kama zitashuka ndugukonyagi ikishuka utaelewa.