Hii ndo aina ya watu ambao utawakuta JF online muda wote

Utakuta mtu kwa siku comments zake kila uzi zipo, yani kwa siku ana comments zinafika mpaka mia 5 huwa najiuliza mtu huyu anafanya kazi muda gani .
Sio kila mtu anafanya kazi za kumtaka awe busy mda wote. Kuna malecturer wanakuwa na vipindi vichache tu kwa wiki, watu wenye maduka, watoa huduma..sio kila mara wapo busy.
 
Coments zenu zimefanya atleast nimeelewa kilichomaanishwa hapa. We kama upo online kuangalia wanaocoment na kupost kila mda you are in a wrong place. Jf sio ya mama ya mtu eti ni kupangiana. Ushauri mdogo, ingia social media yeyote just for fun and u will see life is better. Lakini kama utaingia hapa fuming like an empty minded person utajikuta unaona being online ni ujinga and u will end up posting or comenting utumbo instead ungeula. Kitu cha kwanza jf haitaki makasiriko. Na usichukue every post and coments serious no take them normal guys. Am still konyagilating myself here
 
Hahahaha watu humu asubuhi wanaamka na bia kama kifungua kinywa aige afe🤣
 
Kwa mfano kama mimi nipo ferry hapa napunga upepo tu sina chochote nafanya
 
we jamaa ndo umechukulia serious sana au ni effect ya konyagi
 
Huu mtandao kuutumia umekaa kushoto kushoto ndio maana pia hauna watumiaji wengi.
Kwa hiyo hata wewe umekaa kushoto kushoto wakati unautumia?😅
Kumbe huwa mnajificha eeh!
 
Utakuta mtu kwa siku comments zake kila uzi zipo, yani kwa siku ana comments zinafika mpaka mia 5 huwa najiuliza mtu huyu anafanya kazi muda gani .

Ukienda Maduka ya Sinza Kule, mikocheni, posta ambayo wanaingia mteja mmojammoja.wauzaji au wafanyakazi wa maeneo hayo wengi wao ni watu wa online.

Na wale wasio bundle ukifika dukani unawakuta wamelala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…