Carbon 4real
Member
- Mar 8, 2025
- 7
- 10
Series inaitwa Game Of Thrones mpk sasa inashika nafasi ya kwanza Duniani kuwa series iliyoangaliwa sana na watu na kuweka kupewa rate ya juu.Rate 9.2⭐ ikiwa na misimu 8 ndani yake.
Game Of Thrones 🔥🔥🔥
Stori inamhusu binti ambaye anataka kuukomboa ufalme wa ukoo wao ambao ulipokonywa kwa mda mrefu lakin kumbe pia kuna koo nyingine nyingi ambazo nazo zinakitaka kiti icho cha ufalme.
Stori yake nzuri pamoja uhusika kuchezwa vizuri kwenye hii series na hii inapelekea kuwa series bora ya muda wote.Game Of Thrones 🔥🔥🔥