Hii ndo series bora ya muda wote

Hii ndo series bora ya muda wote

Carbon 4real

Member
Joined
Mar 8, 2025
Posts
7
Reaction score
10
Series inaitwa Game Of Thrones mpk sasa inashika nafasi ya kwanza Duniani kuwa series iliyoangaliwa sana na watu na kuweka kupewa rate ya juu.Rate 9.2⭐ ikiwa na misimu 8 ndani yake.

Stori inamhusu binti ambaye anataka kuukomboa ufalme wa ukoo wao ambao ulipokonywa kwa mda mrefu lakin kumbe pia kuna koo nyingine nyingi ambazo nazo zinakitaka kiti icho cha ufalme.
images (14).jpeg
Stori yake nzuri pamoja uhusika kuchezwa vizuri kwenye hii series na hii inapelekea kuwa series bora ya muda wote.
Game Of Thrones 🔥🔥🔥
 
Nikiangalia episode 2 za mwanzo tu naiona kama sio series nzuri. Kitu kibaya ni kuona kuna mauzauza mengi mambo gani haya
Screenshot_20250309-213244.png
 
Mnataka kumtoa Da'Vinci mafichoni😀
Sina cha kuongeza zaidi maana nishaeleza Sana Kwa kina jinsi GOT ilivyo. Dunia nzima inajua hakuna series Kali kama GoT
Wameigiza kwa hisia sana
Nikiangalia episode 2 za mwanzo tu naiona kama sio series nzuri. Kitu kibaya ni kuona kuna mauzauza mengi mambo gani hayaView attachment 3264985
 
Series inaitwa Game Of Thrones mpk sasa inashika nafasi ya kwanza Duniani kuwa series iliyoangaliwa sana na watu na kuweka kupewa rate ya juu.Rate 9.2⭐ ikiwa na misimu 8 ndani yake.

Stori inamhusu binti ambaye anataka kuukomboa ufalme wa ukoo wao ambao ulipokonywa kwa mda mrefu lakin kumbe pia kuna koo nyingine nyingi ambazo nazo zinakitaka kiti icho cha ufalme.View attachment 3264767
Stori yake nzuri pamoja uhusika kuchezwa vizuri kwenye hii series na hii inapelekea kuwa series bora ya muda wote.
Game Of Thrones 🔥🔥🔥
Game of thrones ni balaa kabisa. The 7 kingdoms. Yule dogo king jefrey aliigiza uhalisia hadi watu wakamchukia hadi baada ya hapo akaacha kuigiza kabisa.
Dogo alikuwa anakera kinoma. Yani ile nafasi aliicheza kisawa sawa alipokufa watu wakafurahi.
Familia ya Lanister namkubali sana Tyrion Lannister.
Daenarys Tygerian yani ana transform taratibu mpaka anakuwa badass
 
Owa mlufdishe Jumong bhana kwenye Avatar😂😂😂
Ni kwa mara ya kwanza tokea nijiunge Jf miaka karibia nane mwaka huu ndio nimebadilisha Avatar tofauti na Jumong..

Sasa nipo kikazi nimeshika Gun ,siibadilishi hiyo avatar mpaka nitakaposambaratisha completely Ghayos Gang.... Maarass!!! Maghayo Mongo
IMG_20250308_201639.jpg
 
Hakika kuna watu wanaifananisha GOAT na BREAKING BAD
asee game of throne ni kisanga kingine kuna kila aina ya udambwidambwi

Starehe mateso uhalifu n.k
 
Back
Top Bottom