ubora wako unaupima kwa kitu gani? je unawajua vyema graduates wa IFM?
wewe najua bado boom liko sasa jishaue kununua hutu tu vocha twa MB uishiwe mapema uone kama hukula nyasi
First Year Wanajulikana tu...!!!
"Mtoto akimwambia Mtoto Mwenzie maneno ya kitoto, tunasema WANACHEZA...
Mtoto akimwambia Mtu mzima maneno ya kitoto tunasema ANAKUA (mtoto akisema baba ninunulie ndege, mzazi hata kama huna baiskeli unamwambia subiri itue mwanangu nitakuletea, hayo ndiyo maisha)
LAKINI MTU MZIMA kumwambia MTU MZIMA MWENZIE maneno ya kitoto, hapo kuna WALAKINI"- MPOTO
inapopaswa kuongea ukweli ni vizuri ingawa sio kila mtu anaweza kukubaliana nao kutokana na sababu zake binafsi
najua hii post itapata diss nyingi KUTOKANA NA UKWELI WAKE,What i need is ujumbe uwafikie wahusika wajue position ya vyuo vyao katika ranking ya vyuo bora bongo,OK ngoja nianze na vyuo bora bongo then ni malizie na vyuo vya kata
kwa upande wa vyuo bora
1.UDSM
2.SUA
3.MUHAS
4.HUBERT KIARUKI
5.ARDHI
kwa upande wa vyuo vya kata
1.UDOM
2.ST AGUSTIN
3.IFM
4.EKENRORD TAN5
5.CBE
Waliopita UDSM baada ya uhuru mpaka leo ndiyo wameifisadi nchi yetu.
jiheshimu wewe!!! st. augustine ipi unayoizungumzia!???