Hii ndo top ten ya vyuo vya kata bongo,vijue kabisa usije ukadanganyika kuvichagua kwa wadogo zangi

Hii ndo top ten ya vyuo vya kata bongo,vijue kabisa usije ukadanganyika kuvichagua kwa wadogo zangi

naona sasa jamiiforum inaanza kua ya kitoto iliyokosa maantiki........sasa kama vyuo vya kata wewe inakuuma nn?watu hawaangalii degree yako umeipata ktk chuo cha kata au la?nows dei watu wanaangalia umetoka na nn kichwani mwako na je unakitumia icho kitu ulichotoka nacho chuo ktk soko la ajira.....acha ujingaaaa wewe kwa uzii wakooo wa kitotoo
 
First Year Wanajulikana tu...!!!

"Mtoto akimwambia Mtoto Mwenzie maneno ya kitoto, tunasema WANACHEZA...

Mtoto akimwambia Mtu mzima maneno ya kitoto tunasema ANAKUA (mtoto akisema baba ninunulie ndege, mzazi hata kama huna baiskeli unamwambia subiri itue mwanangu nitakuletea, hayo ndiyo maisha)

LAKINI MTU MZIMA kumwambia MTU MZIMA MWENZIE maneno ya kitoto, hapo kuna WALAKINI"- MPOTO
 
huu ulinganishi wa vyuo vikuu hauta 2peleka popote katika ngazi ya kimafanikio,ukisema kua kuna vyuo bora na visivyo bora inamaana kua kuna baadhi ya vyuo unavyoviona kwa mitazamo yako binafsi kua co bora havistahili kutoa taaluma ya hadhi ya vyuo vikuu,lakini jaribu kufanya research kwanza uone je hao wahitimu wanaomaliza katika hivyo vuo unavyoviona kua co bora ni kweli hawana utendaji mzuri baada ya kuingia ajirani?,ukweli uliopo ni kwamba vyuo vyote vilivyo chini ya tcu vinatambuliwa na serikali kwa utoaji wa huduma ya elimu ya juu na kuhusiana na ubora wa taaluma inategemea mwanataaluma mwenyewe ulivyo ipokea taaluma,ndo mana hata nafac za kazi zinapotangazwa hawa specify wanataka wanataaluma wa chuo gani,watampima uelewa mwanataaluma kwa interview na co kamaliza chuo gani.cha muhimu ni wewe mwanataaluma kuwa competent kwenye soko la ajira kwa kusoma kwa bidii ili ujenge uelewa mkubwa utakao kuwezesha kushinda changamoto za maisha na co ushabiki wa vyuo kama vilabu vya timu za mpira
 
Mama na ww umepita Institute Of Finance Management?...

Hao watoto waache walopoke wakifika kazini ndy watajua vp ni vyuo bora!...

ubora wako unaupima kwa kitu gani? je unawajua vyema graduates wa IFM?
wewe najua bado boom liko sasa jishaue kununua hutu tu vocha twa MB uishiwe mapema uone kama hukula nyasi
 
Haya ndo matatizo ya kucopy na kupaste kitu usichokielewa

karibu digital
 
msitokwe na mapovu jamani ni wazo lake tu hilo..amekariri tu...hahahahah!!!
 
First Year Wanajulikana tu...!!!

"Mtoto akimwambia Mtoto Mwenzie maneno ya kitoto, tunasema WANACHEZA...

Mtoto akimwambia Mtu mzima maneno ya kitoto tunasema ANAKUA (mtoto akisema baba ninunulie ndege, mzazi hata kama huna baiskeli unamwambia subiri itue mwanangu nitakuletea, hayo ndiyo maisha)

LAKINI MTU MZIMA kumwambia MTU MZIMA MWENZIE maneno ya kitoto, hapo kuna WALAKINI"- MPOTO

Saf kaka, nimeipenda hyo
 
Jamani hizi vyuo vipo kila kata na zinaongozwa na diwani? Mtoa maada ----
 
Waliopita UDSM baada ya uhuru mpaka leo ndiyo wameifisadi nchi yetu.
 
inapopaswa kuongea ukweli ni vizuri ingawa sio kila mtu anaweza kukubaliana nao kutokana na sababu zake binafsi
najua hii post itapata diss nyingi KUTOKANA NA UKWELI WAKE,What i need is ujumbe uwafikie wahusika wajue position ya vyuo vyao katika ranking ya vyuo bora bongo,OK ngoja nianze na vyuo bora bongo then ni malizie na vyuo vya kata


kwa upande wa vyuo bora
1.UDSM
2.SUA
3.MUHAS
4.HUBERT KIARUKI
5.ARDHI

kwa upande wa vyuo vya kata
1.UDOM
2.ST AGUSTIN
3.IFM
4.EKENRORD TAN5
5.CBE

Mzumbe, OUT, KIU viko kundi gani?
 
jamani twendeni makazini mlioko huko mtupe uhalkisia wa performance ya hao waliotyoka kwny vyuo vinavyodaiwa ni bora mi naanza hapa kwetu kwakweli waliotoka udsm ni vilaza wa kutupwa kazini nadhani kazi si kufaulu katika makaratasi wa Sua ndo mamaa weee majangaaaa
 
Ingawa huyu mtoa mada hajaweka TOR classes za vyuo zipo hilo msibishe jmn, ila mda mwingine useme why and how umevonclude hivyo
 
Back
Top Bottom