Vizur sana mtaalamu naomba uende na majukwaa mengine ukawaelimisha wengine kuhusu hili...Usikalili bongo ni dsm pia inaweza ikamaanisha tanzania mfano mtu anaongelea wabongo haimaanishi wadsm inamaana watanzania mtoa mada yupo sawa,chuo kikuu cha kanda ya ziwa ni chuo cha kata over.
Me naenda kusoma geology UDOM namaliza napata ajira na kuwaacha ambao mnacfia vyuo vyenu bado mnazunguka na bahasha zenu
View attachment 112306View attachment 112307View attachment 112308View attachment 112309
some cut off points for UDSM,mwaka huu.
Kiukweli udsm hata kimataifa kipo juu, afrika ktk vyuo 100 bora cha 4, tuache unafiki,
Mimi nmepata pts 11 CBG bt nmechaglwa UDOM Wengne wana pts 14 wamechgulwa UD tena engr.JIPANGE
naona sasa jamiiforum inaanza kua ya kitoto iliyokosa maantiki........sasa kama vyuo vya kata wewe inakuuma nn?watu hawaangalii degree yako umeipata ktk chuo cha kata au la?nows dei watu wanaangalia umetoka na nn kichwani mwako na je unakitumia icho kitu ulichotoka nacho chuo ktk soko la ajira.....acha ujingaaaa wewe kwa uzii wakooo wa kitotoo
Mimi nmepata pts 11 CBG bt nmechaglwa UDOM Wengne wana pts 14 wamechgulwa UD tena engr.JIPANGE
engineer gani cbg..??na wewe unaongea tu attach cheti chako tuone..una 3 yako ndio maana umekwenda huko..
inapopaswa kuongea ukweli ni vizuri ingawa sio kila mtu anaweza kukubaliana nao kutokana na sababu zake binafsi
najua hii post itapata diss nyingi KUTOKANA NA UKWELI WAKE,What i need is ujumbe uwafikie wahusika wajue position ya vyuo vyao katika ranking ya vyuo bora bongo,OK ngoja nianze na vyuo bora bongo then ni malizie na vyuo vya kata
kwa upande wa vyuo bora
1.UDSM
2.SUA
3.MUHAS
4.HUBERT KIARUKI
5.ARDHI
kwa upande wa vyuo vya kata
1.UDOM
2.ST AGUSTIN
3.IFM
4.EKENRORD TAN5
5.CBE
engineer gani cbg..??na wewe unaongea tu attach cheti chako tuone..una 3 yako ndio maana umekwenda huko..
Kuna mtu ana 3 ya 14 yani DEE ya PCM na amechaguliwa UD tena civil engineering
kumbe nilipita chuo bora eeeeh!
inapopaswa kuongea ukweli ni vizuri ingawa sio kila mtu anaweza kukubaliana nao kutokana na sababu zake binafsi
najua hii post itapata diss nyingi KUTOKANA NA UKWELI WAKE,What i need is ujumbe uwafikie wahusika wajue position ya vyuo vyao katika ranking ya vyuo bora bongo,OK ngoja nianze na vyuo bora bongo then ni malizie na vyuo vya kata
kwa upande wa vyuo bora
1.UDSM
2.SUA
3.MUHAS
4.HUBERT KIARUKI
5.ARDHI
kwa upande wa vyuo vya kata
1.UDOM
2.ST AGUSTIN
3.IFM
4.EKENRORD TAN5
5.CBE
Kuna mtu ana 3 ya 14 yani DEE ya PCM na amechaguliwa UD tena civil engineering
wapo wengi tuu hata biashara ndo usiseme