Hii ndo top ten ya vyuo vya kata bongo,vijue kabisa usije ukadanganyika kuvichagua kwa wadogo zangi

Hii ndo top ten ya vyuo vya kata bongo,vijue kabisa usije ukadanganyika kuvichagua kwa wadogo zangi

Usikalili bongo ni dsm pia inaweza ikamaanisha tanzania mfano mtu anaongelea wabongo haimaanishi wadsm inamaana watanzania mtoa mada yupo sawa,chuo kikuu cha kanda ya ziwa ni chuo cha kata over.
Vizur sana mtaalamu naomba uende na majukwaa mengine ukawaelimisha wengine kuhusu hili...
 
Me naenda kusoma geology UDOM namaliza napata ajira na kuwaacha ambao mnacfia vyuo vyenu bado mnazunguka na bahasha zenu
 
Me naenda kusoma geology UDOM namaliza napata ajira na kuwaacha ambao mnacfia vyuo vyenu bado mnazunguka na bahasha zenu

hata practical hamfanyi huko,atakuajiri nani?point zilikubana ndio ukakimbilia chuo chenu cha patasote huko
 
Hivi mafisadi wamesoma chuo gani? Hivi kikwete kasoma chuo gani? Just curious to know
 
Kiukweli udsm hata kimataifa kipo juu, afrika ktk vyuo 100 bora cha 4, tuache unafiki,

Mkuu, ni kweli kabisa, hapa watu wanabishana kama siyo wasomi vile. Kwa ubora wa vyuo UDSM bado ni chuo bora Tanzania, period. Ila admission ya sasa haingalii hilio (kutokana na TCU Guidelines), unaweza ukawa na Div one ukaenda IFM au SAUT, wakati mtu wa Div 2 akaenda UDSM!!

Mtabishana sana mambo ya vyuo mpaka kesho, lakini wadogo zangu kumbukeni, mkimaliza shule na kuanza kusaka ajira, ndo mtajua nini maana ya maisha. Wenzenu tumepika UDSM ma BCom yetu, lakini watu wamesoma SUA masuala ya misitu lakini wanakula fedha mbaya!!!

Mnaosoma, someni muwe weledi achaneni na mambo ya ushabiki wa vyuo!
 
naona sasa jamiiforum inaanza kua ya kitoto iliyokosa maantiki........sasa kama vyuo vya kata wewe inakuuma nn?watu hawaangalii degree yako umeipata ktk chuo cha kata au la?nows dei watu wanaangalia umetoka na nn kichwani mwako na je unakitumia icho kitu ulichotoka nacho chuo ktk soko la ajira.....acha ujingaaaa wewe kwa uzii wakooo wa kitotoo

nimewahi post kitu nikasema jamii forum yaanza kupoteza hadhi watu wakataka kunimaliza ila UKWELI ndio huo kaka humu ndani utani umezidi mwisho itakuwa kamaFACEBOOk
 
no research no right to speak...bangi zinakupeleka kubaya..shauri yako utaonekana --------
 
inapopaswa kuongea ukweli ni vizuri ingawa sio kila mtu anaweza kukubaliana nao kutokana na sababu zake binafsi
najua hii post itapata diss nyingi KUTOKANA NA UKWELI WAKE,What i need is ujumbe uwafikie wahusika wajue position ya vyuo vyao katika ranking ya vyuo bora bongo,OK ngoja nianze na vyuo bora bongo then ni malizie na vyuo vya kata


kwa upande wa vyuo bora
1.UDSM
2.SUA
3.MUHAS
4.HUBERT KIARUKI
5.ARDHI

kwa upande wa vyuo vya kata
1.UDOM
2.ST AGUSTIN
3.IFM
4.EKENRORD TAN5
5.CBE

We ni feki kabisa, Mbona mkulu kasomea UDSM lakini ameshindwa kuperform, bora hata aliyetandikwa kofi na mjahidina anadiploma ya mifugo kamwacha mbali. unaposema ubora wa chuo, toa na products zake zina perform vipi na si vinginevyo. Yawezekana we unauza unga
 
vyuo ni bora je wewe unauzika kwenye soka la ajira kwa kusoma vyuo bora ulivyovitaja?
 
uuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuppppppppppppppppppppppppppppuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuz tu njoo kitaa utajua nani mkal waajiri wana akili wanaangalia wewe cio chuo
 
kumbe nilipita chuo bora eeeeh!

na vingine unaviweka upande upi like tumaini, ruco, zu na vingine vingi...na umetumia vigezo gani... CBE ndio chuo cha kwanza cha elimu ya juu Tanganyika...kabla hata tanzania kuzaliwa we uniita chuo cha kata au hujui unalolisema
 
inapopaswa kuongea ukweli ni vizuri ingawa sio kila mtu anaweza kukubaliana nao kutokana na sababu zake binafsi
najua hii post itapata diss nyingi KUTOKANA NA UKWELI WAKE,What i need is ujumbe uwafikie wahusika wajue position ya vyuo vyao katika ranking ya vyuo bora bongo,OK ngoja nianze na vyuo bora bongo then ni malizie na vyuo vya kata


kwa upande wa vyuo bora
1.UDSM
2.SUA
3.MUHAS
4.HUBERT KIARUKI
5.ARDHI

kwa upande wa vyuo vya kata
1.UDOM
2.ST AGUSTIN
3.IFM
4.EKENRORD TAN5
5.CBE


kumbe ndo hivyo?
 
-------- KABISA....MSOMI UNAPOST UPUUZI KAMA HUU.hili sio jukwaa la wendawazimu umepotea njia hata spelling za ulivyoandika hujui....ur so(-)
 
Back
Top Bottom