kinenekejo
Senior Member
- Oct 31, 2011
- 176
- 51
acha kudanganya watu,E ya udsm ndo sawa na 'A' ya saut.
Waulize waliosoma huko "vyuo bora" watakwambia ukweli. Siku hizi mtaani hatuangalii chuo ndugu, tunataka uwezo. Bahati mbaya hata baadhi ya wenye PASS wanafanya vizuri kuliko GPA kubwa. Usipoteze muda wako kusifia chuo, JENGA UWEZO WAKO.
inapopaswa kuongea ukweli ni vizuri ingawa sio kila mtu anaweza kukubaliana nao kutokana na sababu zake binafsi
najua hii post itapata diss nyingi KUTOKANA NA UKWELI WAKE,What i need is ujumbe uwafikie wahusika wajue position ya vyuo vyao katika ranking ya vyuo bora bongo,OK ngoja nianze na vyuo bora bongo then ni malizie na vyuo vya kata
kwa upande wa vyuo bora
1.UDSM
2.SUA
3.MUHAS
4.HUBERT KIARUKI
5.ARDHI
kwa upande wa vyuo vya kata
1.UDOM
2.ST AGUSTIN
3.IFM
4.EKENRORD TAN5
5.CBE
hilo halina ubishi. wale vilaza wote waliokosa UDSM, Mzumbe, nk huwa wanaenda SAUT, hasa wale wenye div 3, div 4 wanakuwa na pre entry program ya kama mwezi kuzugia. in short hawa ni wengi ni watoto wa vigogo, na wamekuwa katika ajira pia hupata shavu, ila perfomance kazini ni upepo/ile hewa inayotoka kwenye masaburi:typing:
vigezo?inapopaswa kuongea ukweli ni vizuri ingawa sio kila mtu anaweza kukubaliana nao kutokana na sababu zake binafsi
najua hii post itapata diss nyingi KUTOKANA NA UKWELI WAKE,What i need is ujumbe uwafikie wahusika wajue position ya vyuo vyao katika ranking ya vyuo bora bongo,OK ngoja nianze na vyuo bora bongo then ni malizie na vyuo vya kata
kwa upande wa vyuo bora
1.UDSM
2.SUA
3.MUHAS
4.HUBERT KIARUKI
5.ARDHI
kwa upande wa vyuo vya kata
1.UDOM
2.ST AGUSTIN
3.IFM
4.EKENRORD TAN5
5.CBE
.................mmmh!! kwa mitazamo hii ndo maana huwa napata shida sana na ubora wa elimu zitolewazo na vyuo vyetu ikiwa inazalisha wataalamu wenye mawazo ya aina hii ya kukariri. Watu wa aina hii hujisikia inferiority pale wanaposikia mtu fulani kasoma nje kwa kuwa vichwa vyao vimeharibiwa na majina ya vyuo na sio kile kinachoingia ndani ya vichwa vyao lol!! Wekeni na list ya vyuo vya nje basi ili mjue mpo katika nafasi gani na wengine nao ambao hawajasoma Bongo waone vyuo walivyosoma. Kweli elimu ya Tanzania haimkomboi mwanafunzi bali inamfanya azidii kuwa mtumwa wa majengo aliyoyatumia kusomea.Ntaacha laana kwa mtoto au mjukuu wangu atakae kuja kusoma chuo tofauti na udsm hapa tz.
interview nyingi hazipimi uwezo, hiyo ndio changamoto iliyopo. usishangae mtu aliyepiga divison 1 point 7 o level na 1.3 ya PCM, akapiga GPA ya 4 Electronics/Computer Engineering UDSM akakosa kazi, wakamuajiri aliye pata division4 olevel, divison 4 PCM na GPA ya 2.4 Electronics/Computer Engineering ya St Joseph. ni kama kina Mulugo, walo na Div iv form 6 kama sio zero, lakini wanawasimamia Maprof kama kina Mukandala, Mgongofimbo, Baregu. Luhanga,Shaidi,Mgongofimbo. hii ndio bongo
ubishano wako ni sawa na sisimizi kumkanyaga tembo pole sana wala hugeizi lolote zaidi unazidi kujidharaulisha nakuprovee how ignorant ua na elimu haijakusaidia chochoteinstitute of finance management in swahili TAASISI YA USIMAMIZI WA FEDHA....kwa mantiki hiyo mi napinga kwa kwamba IFM sio chuo bali ni taasisi.... hilo ni angalizo....mi napita tu.....
tena ni mejitahidi sana kuandika kiswahili is my 3rd language kwikwiwkwikwAnother kilaza anayeonekana kipanga wa IFM! Hata sentensi unavyoandika utadhani Form II wa shule ya Kata! Anyway, it is not your mistake.....It is your academic background which you went through is what affects you!
inapopaswa kuongea ukweli ni vizuri ingawa sio kila mtu anaweza kukubaliana nao kutokana na sababu zake binafsi
najua hii post itapata diss nyingi KUTOKANA NA UKWELI WAKE,What i need is ujumbe uwafikie wahusika wajue position ya vyuo vyao katika ranking ya vyuo bora bongo,OK ngoja nianze na vyuo bora bongo then ni malizie na vyuo vya kata
kwa upande wa vyuo bora
1.UDSM
2.SUA
3.MUHAS
4.HUBERT KIARUKI
5.ARDHI
kwa upande wa vyuo vya kata
1.UDOM
2.ST AGUSTIN
3.IFM
4.EKENRORD TAN5
5.CBE
mkuu mi na wewe na wewe nani anajidharau??? lakin sishangai kwa maana kiswahili hujui uko mweupe??? kama huamini tulia povu la nini sasa??? sibishan na mtu na sina mda huo!!! ifm ni taasisi na sio chuo!! sasa kama hujui kiswahili omba msaada ueleweshwe au kama hutaki tafutta kamusi au nenda google translate....MIMI NAIMANI WEWE NDO IGNORANT KWA MAANA HUJUI HATA KUTAFSIRI MANENO!!! KAJIPANGE KIJANA!!!ubishano wako ni sawa na sisimizi kumkanyaga tembo pole sana wala hugeizi lolote zaidi unazidi kujidharaulisha nakuprovee how ignorant ua na elimu haijakusaidia chochote
tena ni mejitahidi sana kuandika kiswahili is my 3rd language kwikwiwkwikw