Hii ndo top ten ya vyuo vya kata bongo,vijue kabisa usije ukadanganyika kuvichagua kwa wadogo zangi

Hii ndo top ten ya vyuo vya kata bongo,vijue kabisa usije ukadanganyika kuvichagua kwa wadogo zangi

acha kudanganya watu,E ya udsm ndo sawa na 'A' ya saut.

hilo halina ubishi. wale vilaza wote waliokosa UDSM, Mzumbe, nk huwa wanaenda SAUT, hasa wale wenye div 3, div 4 wanakuwa na pre entry program ya kama mwezi kuzugia. in short hawa ni wengi ni watoto wa vigogo, na wamekuwa katika ajira pia hupata shavu, ila perfomance kazini ni upepo/ile hewa inayotoka kwenye masaburi:typing:
 
Waulize waliosoma huko "vyuo bora" watakwambia ukweli. Siku hizi mtaani hatuangalii chuo ndugu, tunataka uwezo. Bahati mbaya hata baadhi ya wenye PASS wanafanya vizuri kuliko GPA kubwa. Usipoteze muda wako kusifia chuo, JENGA UWEZO WAKO.

interview nyingi hazipimi uwezo, hiyo ndio changamoto iliyopo. usishangae mtu aliyepiga divison 1 point 7 o level na 1.3 ya PCM, akapiga GPA ya 4 Electronics/Computer Engineering UDSM akakosa kazi, wakamuajiri aliye pata division4 olevel, divison 4 PCM na GPA ya 2.4 Electronics/Computer Engineering ya St Joseph. ni kama kina Mulugo, walo na Div iv form 6 kama sio zero, lakini wanawasimamia Maprof kama kina Mukandala, Mgongofimbo, Baregu. Luhanga,Shaidi,Mgongofimbo. hii ndio bongo
 
inapopaswa kuongea ukweli ni vizuri ingawa sio kila mtu anaweza kukubaliana nao kutokana na sababu zake binafsi
najua hii post itapata diss nyingi KUTOKANA NA UKWELI WAKE,What i need is ujumbe uwafikie wahusika wajue position ya vyuo vyao katika ranking ya vyuo bora bongo,OK ngoja nianze na vyuo bora bongo then ni malizie na vyuo vya kata

kwa upande wa vyuo bora
1.UDSM
2.SUA
3.MUHAS
4.HUBERT KIARUKI
5.ARDHI

kwa upande wa vyuo vya kata
1.UDOM
2.ST AGUSTIN
3.IFM
4.EKENRORD TAN5
5.CBE

mzumbe iko wapi!?
 
Ila kwenye vyuo vya kata huko kuna vijeba nimesima nao post graduate ya economics wakiwa wametokea udsm wametema mzigo yaaani tumewaburuza ile mbaya wanasapua tu!! Nilichogundua division one za mlimani mbwembwe tu uwezo darasani kiwango chao kuchambua issues weupeeeeeeee
 
hilo halina ubishi. wale vilaza wote waliokosa UDSM, Mzumbe, nk huwa wanaenda SAUT, hasa wale wenye div 3, div 4 wanakuwa na pre entry program ya kama mwezi kuzugia. in short hawa ni wengi ni watoto wa vigogo, na wamekuwa katika ajira pia hupata shavu, ila perfomance kazini ni upepo/ile hewa inayotoka kwenye masaburi:typing:

Mbona kuna Dv. 3 kibao UDSM na kuna Dv.1 na 2 SAUT???
 
Ntaacha laana kwa mtoto au mjukuu wangu atakae kuja kusoma chuo tofauti na udsm hapa tz.
 
Ijulikane baada ya elimu yako, haijalishi vyuo kata wala bora, MAISHA ndio chuo kikuu, kama unasoma ukija ttani ndo utajua elimu sio chuo bali KICHWA CHAKO!
 
inapopaswa kuongea ukweli ni vizuri ingawa sio kila mtu anaweza kukubaliana nao kutokana na sababu zake binafsi
najua hii post itapata diss nyingi KUTOKANA NA UKWELI WAKE,What i need is ujumbe uwafikie wahusika wajue position ya vyuo vyao katika ranking ya vyuo bora bongo,OK ngoja nianze na vyuo bora bongo then ni malizie na vyuo vya kata

kwa upande wa vyuo bora
1.UDSM
2.SUA
3.MUHAS
4.HUBERT KIARUKI
5.ARDHI

kwa upande wa vyuo vya kata
1.UDOM
2.ST AGUSTIN
3.IFM
4.EKENRORD TAN5
5.CBE
vigezo?
 
Aha ha ha ha ha ha!!!! mleta uzi kanifurahisha mno kwa kujitabiria kuwa atapata dis za kutosha kutoka kwa wachangiaji. Jamaa hajafanya kosa kuandika hiyo orodha yake kutokana na yeye anavyojua ubora wa vyuo husika, nadhani hapa amejaribu kuweka mtazamo wake na siku zote mtazamo wa mtu haupingwi kwa kubishana bali ni hoja zilizoshiba ndo zinaweza kumfanya mtu abadili mtazamo Labda mtoa mada angeulizwa aweke vigezo vyake alivyotumia mwenyewe kuviweka hivyo vyuo ktk hizo nafasi na si kumpinga tu. Kwa upande wangu namuona hayupo sahihi. Mimi mtazamo wangu ni kwamba SUA ni bora zaidi kuliko UDSM katika suala la masomo ya kilimo na pia sio sahihi kuvishindanisha vyuo hivi kutokana na masomo yanayotolewa vyuoni hapo kuwa tofauti kabisa lakini mtoa mada kafanya baadhi ya watu wajisikie vibaya kwa kutovitaja au kuviweka nafasi mbaya vyuo walivyopitia. Cha msingi hapa kila mmoja atambue kuwa chuo bora kuliko vyote ni kichwa chake, FULL STOP!!!!
 
Ntaacha laana kwa mtoto au mjukuu wangu atakae kuja kusoma chuo tofauti na udsm hapa tz.
.................mmmh!! kwa mitazamo hii ndo maana huwa napata shida sana na ubora wa elimu zitolewazo na vyuo vyetu ikiwa inazalisha wataalamu wenye mawazo ya aina hii ya kukariri. Watu wa aina hii hujisikia inferiority pale wanaposikia mtu fulani kasoma nje kwa kuwa vichwa vyao vimeharibiwa na majina ya vyuo na sio kile kinachoingia ndani ya vichwa vyao lol!! Wekeni na list ya vyuo vya nje basi ili mjue mpo katika nafasi gani na wengine nao ambao hawajasoma Bongo waone vyuo walivyosoma. Kweli elimu ya Tanzania haimkomboi mwanafunzi bali inamfanya azidii kuwa mtumwa wa majengo aliyoyatumia kusomea.
 
tumain mbona hujaweka ww...sheeeeen....z kweeeeeeeli kweeeeeeeeelllly bila shaka utakua first year tu wewe....btw ni kairuki..kumbe ni chuo pia enhh? imtu..nacho daaah uko nyuma kichizi
 
interview nyingi hazipimi uwezo, hiyo ndio changamoto iliyopo. usishangae mtu aliyepiga divison 1 point 7 o level na 1.3 ya PCM, akapiga GPA ya 4 Electronics/Computer Engineering UDSM akakosa kazi, wakamuajiri aliye pata division4 olevel, divison 4 PCM na GPA ya 2.4 Electronics/Computer Engineering ya St Joseph. ni kama kina Mulugo, walo na Div iv form 6 kama sio zero, lakini wanawasimamia Maprof kama kina Mukandala, Mgongofimbo, Baregu. Luhanga,Shaidi,Mgongofimbo. hii ndio bongo

Mkuu haipaswi kuwa hivo. Hizo ni deviations tu mkuu. Kinachotakiwa ni uwezo kiongozi. Kumbuka kuwa wizi hautakoma kuwa uovu eti kwa sababu wengi ni wezi. Mara nyingi hata kwenye interviews kuna watu hawawezi kuzuiliwa kwa sababu ya kuwa na uwezo mkubwa. WATU WANAPASWA KUJENGA UWEZO NA SIO KUSIFIA VYUO PEKE YAKE
 
institute of finance management in swahili TAASISI YA USIMAMIZI WA FEDHA....kwa mantiki hiyo mi napinga kwa kwamba IFM sio chuo bali ni taasisi.... hilo ni angalizo....mi napita tu.....
ubishano wako ni sawa na sisimizi kumkanyaga tembo pole sana wala hugeizi lolote zaidi unazidi kujidharaulisha nakuprovee how ignorant ua na elimu haijakusaidia chochote
 
Another kilaza anayeonekana kipanga wa IFM! Hata sentensi unavyoandika utadhani Form II wa shule ya Kata! Anyway, it is not your mistake.....It is your academic background which you went through is what affects you!
tena ni mejitahidi sana kuandika kiswahili is my 3rd language kwikwiwkwikw
Sie sind ungebildet und dumm, um diejenigen, die Ihre Schulgeldzahlungen zu zerstören Ihr Gehirn auf diese Weise dumm gehalten
 
inapopaswa kuongea ukweli ni vizuri ingawa sio kila mtu anaweza kukubaliana nao kutokana na sababu zake binafsi
najua hii post itapata diss nyingi KUTOKANA NA UKWELI WAKE,What i need is ujumbe uwafikie wahusika wajue position ya vyuo vyao katika ranking ya vyuo bora bongo,OK ngoja nianze na vyuo bora bongo then ni malizie na vyuo vya kata

kwa upande wa vyuo bora
1.UDSM
2.SUA
3.MUHAS
4.HUBERT KIARUKI
5.ARDHI

kwa upande wa vyuo vya kata
1.UDOM
2.ST AGUSTIN
3.IFM
4.EKENRORD TAN5
5.CBE

jukwaa limevamiwa
 
chuo bora ni wewe mwenyewe.....tatizo sifa tu hakuna lolote njooni huku kwa wenzetu muone mambo yalivyo hakuna mada za vyuo kama bongo......ama kweli vilaza hawataisha bongo
 
Huyu lazma atakua dent bado na bila shaka anasoma Udsm...
Nina uhakika huyu ni hopoless na namuombea Mungu asi sap wala
as disco..amalize aje mtaani..akutane na watu wa shule wasokua na majigambo
lazma atalia...wenzako wanakaza kusoma..wewe una kaza kujisifu kwa chuo unacho soma..
nakuhakikishia wewe huwezi pata GPA kubwa zaidi ya PASS..
jiamini wewe kama wewe na usitegemee chuo kukubeba..
Kula boom na usome mdogo wangu..usile boom na kuwaza upuuzi
 
ubishano wako ni sawa na sisimizi kumkanyaga tembo pole sana wala hugeizi lolote zaidi unazidi kujidharaulisha nakuprovee how ignorant ua na elimu haijakusaidia chochote
mkuu mi na wewe na wewe nani anajidharau??? lakin sishangai kwa maana kiswahili hujui uko mweupe??? kama huamini tulia povu la nini sasa??? sibishan na mtu na sina mda huo!!! ifm ni taasisi na sio chuo!! sasa kama hujui kiswahili omba msaada ueleweshwe au kama hutaki tafutta kamusi au nenda google translate....MIMI NAIMANI WEWE NDO IGNORANT KWA MAANA HUJUI HATA KUTAFSIRI MANENO!!! KAJIPANGE KIJANA!!!
tena ni mejitahidi sana kuandika kiswahili is my 3rd language kwikwiwkwikw
 
Back
Top Bottom