Hii ndoto ilinifanya nikasilimu

Kwa hii comment wewe ni muislam wa kuzaliwa na hujawahi kuwa mkristo.
Ndio maana hata bandiko lako umeanza na neno "tea time' aka GHAI😎
 
Kabla ya ukirsto na uislamu watu walizaliwa wakiwa dini gani? Mahusiano yetu na Mungu ndio jambo la msingi sana kuliko dini zetu, tunashika, tunatii na kupenda sana dini zetu na madhebu yetu kuliko kumpenda na kumtii Mwenyezi Mungu.
Uislam umeanza na Adam, kwahyo Kabla yake hakukuwa na wanadamu
 
Nabii Issa ni njia mojawapo ya kweli na uzima maana alihubiri uislam, hata Muhammad pia ni njia ya kweli na uzima.
Nabii Issa hakuwahi kujiita Mungu
 
Mkuu endelea kujifunza uislam nazan mpk mda huu ujajutia uamuzi wako unaeza kua balozi mzuri wa kufundisha hawa vichwa ngumu wanaozani uislam ni vita
Kidogo kidogo wataelewa
 
hebu tuthibitishie kuwa kitabu hicho ni cha kweli. na sisi tutakuthibitishia kuwa chetu ni cha kweli. sisi tunaamini chako ni cha uongo hivyo hatuna hata sababu yakukiamini kilichomo ndani yake.
Kitabu Quran hakuna shaka ndani yake, ni muujiza thabiti unaojitosheleza.
 
😅😅😅unamtaja Yesu sehemu moja na Muhammad mbaya zaidi unasema alishaoza!!!halafu unataka tuamini ulikuwa mkristo😅😅😅

hata waislam wenzako wanakushangaa.
Yesu hakuangikwa msalabani, ogopa matapeli
 
Kwa hii comment wewe ni muislam wa kuzaliwa na hujawahi kuwa mkristo.
Ndio maana hata bandiko lako umeanza na neno "tea time' aka GHAI😎
Nimeanza na true story bwana
 
Ushagongwa muhuri wa ukristu huo muhuri haufutiki hata ufanye nini
Huyu asikusumbue,hao jamaa ni attention seeker hapa anapima upepo.

Huyu hajawahi kuwa Mkristo ni Muislam kwa kuzaliwa na ndiyo dini aliyokulia though zipo habari kwamba kwenye hiyo dini yake sometimes muumini anaweza kudanganya kama tu anachodanganyia kitaifanya dini ipendwe au iamshe hisia za watu.
 
Hebu sema ukweli umesilim lini?








Mbona kama unateseka sana na Ukristu?
 
Hata kama ni kuhubiri dini siyo kihivi aisee...
 
Kila mtu anazaliwa muislam ni upuuzi mkubwa sana,tunazaliwa huru kisha tunafundishwa dini za wazazi wetu na kuzishika. Kama kila mtu anazaliwa muislam watoto wasingekua wanatandikwa viboko madrasa ili kuikariri Qur'an.
 
Nimesilimu mwaka huu, hivi karibuni
 
Mkuu, Mimi nimeripoti tu ulimbukeni wa wafuasi wa Dini. Binafsi siwezi kuwa na upuuzi wa namna hiyo.
 
Hongera kwa mungu kukuonyesha njia ya haki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…