Hii ndoto ilinifanya nikasilimu

Hii ndoto ilinifanya nikasilimu

hakuna jila la kiarabu bali kuna majina ya kiislamu....jina ni jina ila mtume amefundisha watu kuitwa kwa majina wayapendayo...kuna majina hupendeza muislamu akiitwa kwayo.
Una uhakika Hilo jibu ulilo jibu linafaa kupokelewa na mtu mwenye akili timamu na ubungo unaofikiri sawa sawa. Ambao haujaliwa na fangasi ya Dini?
 
kasome kiswahili maana ya nomino kisha uje uniambie jina ni kiarabu
 
True story: Tea time,

Nilizaliwa katika ukristo na kukulia kwenye ukristo.

Mwaka Jana nilihamia Tanga kikazi, mtaa niliokuwa Ninaishi ulikuwa una Waislam tupu. Nyumba nliyokuwa Ninaishi ilikuwa jirani na msikiti, Kila siku pale msikitini walikuwa wanaimba aya za Quran Usiku kucha. Sijui kwanini lakini Ile sauti ilikuwa ni nzuri sana masikioni na ilinifanya nikawa najisikia amani sana nilalapo.

Mwaka huu mwezi fulan nikiwa nimelala, nikaota ndoto ya ajabu iliyonifaonya nisilimu wiki hiyo. Ndoto yenyewe ilikuwa hivi:

Niliota Mimi na kaka yangu wa Arusha tukitembea maeneo ya mtaani kwetu hapo Tanga. Tukakutana na kundi kubwa la watu wa Kila aina matajiri kwa masikini wakiingia katika ule msikiti jirani.

Pamoja na tofauti zao za kiuchumi lakini wote waliingia ndani katika ule msikiti na kuwa kama kitu kimoja. Hakukuwa na madaraja mule ndani, hakukuwa na mabenchi ila wote waliingia kama watoto wadogo wakijisalimisha kwa Muumba wao. Ni kama vile pesa,vyeo,umaarufu waliviacha nje ya msikiti.

Nikapita jirani nikasikia ndani Quran inasomwa na wote wakistaajabu maajabu ya hiki kitabu kilichoandikwa Karne nyingi zilizopita.

Nikapita kwa pembeni nikielekea zangu nyumbani, ila kwa nje nkakutana na mtu akawa ananialika tuingie kuswali, nikakataa kwa visingizio vingi kama vile Nawahi sehemu,sijui kuswali,siku nyingine nk. Nk.

Lakini yule mtu akanisisitiza na kuniambia kuwa nikiingia Mungu atanitoa gizani na kuniweka kwenye njia ya haki.

Mi nkaondoka lakini nkamuacha kaka angu akiongea na yule mtu. Ndoto ikaishia hapo.

Kaka angu niliokuwa sijawasiliana naye takriban wiki 3 na sikumwambia kuhusu hiyo ndoto,lakini wiki hiyo hiyo nilisikia kuwa kaka angu wa Arusha amesilimu.

Kiukweli nilistaajabu sana na kujiuliza ni nini hiki na maana yake nini?

Baada ya Tafakuri ya mda mrefu niliamua kwenda kwenye huo msikiti labda nitakutana na yule mtu wa ndotoni na hiyo ndiyo ikawa njia iliyonipelekea kurudi kwenye uislam(Kila mtu huzaliwa muislam).

Katika kumtafuta yule mtu Kuna shehe nilimsimulia, akaamua kuchukua jukumu la kunifunza na kunielezea maajabu ya Quran na kiukweli Ile ndoto + maajabu ya Quran ilinifanya nikasilimu. Bado naendelea kujifunza mengi mapya katika hii Imani ya kweli na haki.

Allahu akbar.

PS: Yule mtu Bado sijampata
PS #2: Braza wa Arusha anajua namimi nimesilimu lakini sijamuhadithia kuhusu Ile ndoto.
Huu ujinga wa kuupromoti uislamu ndy unauita ndoto? Usitufanye sisi watoto wadogo ujue

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
hiyo ilikuwa ni ndoto toka kwa shetani mwenyewe, umepoteza focus na kitu kikubwa sana maishani mwako, kuna siku utakuja kujuta. lakini hata hivyo una nafasi ya kubadilika na umkiri Yesu Kristo kama Bwana na Mwokozi wa maisha yako, uokoke kwasababu dhambi ya kwanza utakayohukumiwa nayo na ndiyo ambayo wanadamu watahukumiwa nayo ni kumkana Yesu Kristo kuwa Mwokozi wako. sikulaumu kwa hali uliyokuwa nayo kwasababu hata wakati unaota ulikuwa gizani, haukuwa tofauti na huko ulikokweda, kuwa mkristo wa dini hauna tofauti na waislam, kwahiyo haujabadili chochote umetoka kwa shetani ukaenda kwa shetani yule yule umebadilisha vyumba tu. ila kuwa Mkristo aliyeokoka (sio wa dini) ni kitu valuable na special, na ndicho kitakachofanya mtu auridhi uzima wa milele. hapo upo safarini kwenda jehanum ya moto wa milele. uamuzi ni wako.
Kiongozi umeandika kitu kimenisisimua sana nakiri kabisa Niko njia isiyo sahihi baada ya kuanguka dhambini miaka mingi iliyopita, nilikuwa namtumikia Mungu lkn shetani akanipiga ngwara aisee

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
True story: Tea time,

Nilizaliwa katika ukristo na kukulia kwenye ukristo.

Mwaka Jana nilihamia Tanga kikazi, mtaa niliokuwa Ninaishi ulikuwa una Waislam tupu. Nyumba nliyokuwa Ninaishi ilikuwa jirani na msikiti, Kila siku pale msikitini walikuwa wanaimba aya za Quran Usiku kucha. Sijui kwanini lakini Ile sauti ilikuwa ni nzuri sana masikioni na ilinifanya nikawa najisikia amani sana nilalapo.

Mwaka huu mwezi fulan nikiwa nimelala, nikaota ndoto ya ajabu iliyonifaonya nisilimu wiki hiyo. Ndoto yenyewe ilikuwa hivi:

Niliota Mimi na kaka yangu wa Arusha tukitembea maeneo ya mtaani kwetu hapo Tanga. Tukakutana na kundi kubwa la watu wa Kila aina matajiri kwa masikini wakiingia katika ule msikiti jirani.

Pamoja na tofauti zao za kiuchumi lakini wote waliingia ndani katika ule msikiti na kuwa kama kitu kimoja. Hakukuwa na madaraja mule ndani, hakukuwa na mabenchi ila wote waliingia kama watoto wadogo wakijisalimisha kwa Muumba wao. Ni kama vile pesa,vyeo,umaarufu waliviacha nje ya msikiti.

Nikapita jirani nikasikia ndani Quran inasomwa na wote wakistaajabu maajabu ya hiki kitabu kilichoandikwa Karne nyingi zilizopita.

Nikapita kwa pembeni nikielekea zangu nyumbani, ila kwa nje nkakutana na mtu akawa ananialika tuingie kuswali, nikakataa kwa visingizio vingi kama vile Nawahi sehemu,sijui kuswali,siku nyingine nk. Nk.

Lakini yule mtu akanisisitiza na kuniambia kuwa nikiingia Mungu atanitoa gizani na kuniweka kwenye njia ya haki.

Mi nkaondoka lakini nkamuacha kaka angu akiongea na yule mtu. Ndoto ikaishia hapo.

Kaka angu niliokuwa sijawasiliana naye takriban wiki 3 na sikumwambia kuhusu hiyo ndoto,lakini wiki hiyo hiyo nilisikia kuwa kaka angu wa Arusha amesilimu.

Kiukweli nilistaajabu sana na kujiuliza ni nini hiki na maana yake nini?

Baada ya Tafakuri ya mda mrefu niliamua kwenda kwenye huo msikiti labda nitakutana na yule mtu wa ndotoni na hiyo ndiyo ikawa njia iliyonipelekea kurudi kwenye uislam(Kila mtu huzaliwa muislam).

Katika kumtafuta yule mtu Kuna shehe nilimsimulia, akaamua kuchukua jukumu la kunifunza na kunielezea maajabu ya Quran na kiukweli Ile ndoto + maajabu ya Quran ilinifanya nikasilimu. Bado naendelea kujifunza mengi mapya katika hii Imani ya kweli na haki.

Allahu akbar.

PS: Yule mtu Bado sijampata
PS #2: Braza wa Arusha anajua namimi nimesilimu lakini sijamuhadithia kuhusu Ile ndoto.
Ziwa la moto liko na wewe usipotubu na kurudi kwa yesu
 
No wew hukuwa mkristo 99.1%
 
Mashallah
Ushauri wangu kwako ndugu yangu, ni kuelekeza juhudi zako hasa katika kuusoma na kuufahamu Uislamu, hili ndilo litakalo ijenga imani yako sawasawa.
Maana imani bila ya elimu ya kujua unachokiamini inakuwa haina mashiko, hivyo jikite kwenye kuisoma dini yako.

Allah akupe tawfiiq.
 
Amin
 
Hongera sana. Utanukiwa mabikra 72

Quran 2:25, 4:57 imeandika kwamba wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wazuri huko Akhera

Pia ukisoma Quran 38:52 inaongelea kwamba kuna mabikra tayari wa kutosha huko Ahera wakiwasubiri wanaume

Zaidi ukisoma Quran 44:54 inataja sifa za mabikra hao kuwa ni wenye macho mazuri, macho meusi mapana na warembo kwelikweli
 
Karibu katika quran na sunnah.
Uislamu maana yake Kusalimika.

Achana na propaganda za dini hii kuhusishwa na Ugaidi

Hivi unajua kuwa kuoa mke zaid ya mmoja kuna hekma kubwa sana kwa Alie tuumba.

Wacha hiyo, hivi unajua uislamu ndio dini iliyokuna kufundisha watu kujilinda vizuri na najisi( kinyesi na mikojo).

Ntaendelea wacha kwanza nimalizie kazi.
Napenda ngono sana. Hao mabikra 72 wapo na mimi nislimu?
Quran 2:25, 4:57 imeandika kwamba wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wazuri huko Akhera

Pia ukisoma Quran 38:52 inaongelea kwamba kuna mabikra tayari wa kutosha huko Ahera wakiwasubiri wanaume

Zaidi ukisoma Quran 44:54 inataja sifa za mabikra hao kuwa ni wenye macho mazuri, macho meusi mapana na warembo kwelikweli
 
True story: Tea time,

Nilizaliwa katika ukristo na kukulia kwenye ukristo.

Mwaka Jana nilihamia Tanga kikazi, mtaa niliokuwa Ninaishi ulikuwa una Waislam tupu. Nyumba nliyokuwa Ninaishi ilikuwa jirani na msikiti, Kila siku pale msikitini walikuwa wanaimba aya za Quran Usiku kucha. Sijui kwanini lakini Ile sauti ilikuwa ni nzuri sana masikioni na ilinifanya nikawa najisikia amani sana nilalapo.

Mwaka huu mwezi fulan nikiwa nimelala, nikaota ndoto ya ajabu iliyonifaonya nisilimu wiki hiyo. Ndoto yenyewe ilikuwa hivi:

Niliota Mimi na kaka yangu wa Arusha tukitembea maeneo ya mtaani kwetu hapo Tanga. Tukakutana na kundi kubwa la watu wa Kila aina matajiri kwa masikini wakiingia katika ule msikiti jirani.

Pamoja na tofauti zao za kiuchumi lakini wote waliingia ndani katika ule msikiti na kuwa kama kitu kimoja. Hakukuwa na madaraja mule ndani, hakukuwa na mabenchi ila wote waliingia kama watoto wadogo wakijisalimisha kwa Muumba wao. Ni kama vile pesa,vyeo,umaarufu waliviacha nje ya msikiti.

Nikapita jirani nikasikia ndani Quran inasomwa na wote wakistaajabu maajabu ya hiki kitabu kilichoandikwa Karne nyingi zilizopita.

Nikapita kwa pembeni nikielekea zangu nyumbani, ila kwa nje nkakutana na mtu akawa ananialika tuingie kuswali, nikakataa kwa visingizio vingi kama vile Nawahi sehemu,sijui kuswali,siku nyingine nk. Nk.

Lakini yule mtu akanisisitiza na kuniambia kuwa nikiingia Mungu atanitoa gizani na kuniweka kwenye njia ya haki.

Mi nkaondoka lakini nkamuacha kaka angu akiongea na yule mtu. Ndoto ikaishia hapo.

Kaka angu niliokuwa sijawasiliana naye takriban wiki 3 na sikumwambia kuhusu hiyo ndoto,lakini wiki hiyo hiyo nilisikia kuwa kaka angu wa Arusha amesilimu.

Kiukweli nilistaajabu sana na kujiuliza ni nini hiki na maana yake nini?

Baada ya Tafakuri ya mda mrefu niliamua kwenda kwenye huo msikiti labda nitakutana na yule mtu wa ndotoni na hiyo ndiyo ikawa njia iliyonipelekea kurudi kwenye uislam(Kila mtu huzaliwa muislam).

Katika kumtafuta yule mtu Kuna shehe nilimsimulia, akaamua kuchukua jukumu la kunifunza na kunielezea maajabu ya Quran na kiukweli Ile ndoto + maajabu ya Quran ilinifanya nikasilimu. Bado naendelea kujifunza mengi mapya katika hii Imani ya kweli na haki.

Allahu akbar.

PS: Yule mtu Bado sijampata
PS #2: Braza wa Arusha anajua namimi nimesilimu lakini sijamuhadithia kuhusu Ile ndoto.
Duu yaani ukadanyanyika hivi hivi. Kwa sababu Allah katika majina yake 99 majina matano yathibitisha Allah ndiye Shetani Mwenyewe na huyo Mtume Mohammad alipenda sana ngono mpaka akaoa mtoto wa miaka 6, Aisha, na Akampiga tongue kiss mtoto mdogo wa kiume, alifumaniwa mara kadhaa tu alifanya ngono na kijakazi Maria, alikuwa muuaji basi kila baya lilikuwa la kwake. Haya wewe endelea tu huko
 
Dini zote ni njia ya kumfikia Mungu hakuna tatizo kubadili dini… sisi wakristo tunaamini kwamba YESU ndiye njia, kweli na uzima
 
Hongera sana. Utanukiwa mabikra 72

Quran 2:25, 4:57 imeandika kwamba wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wazuri huko Akhera

Pia ukisoma Quran 38:52 inaongelea kwamba kuna mabikra tayari wa kutosha huko Ahera wakiwasubiri wanaume

Zaidi ukisoma Quran 44:54 inataja sifa za mabikra hao kuwa ni wenye macho mazuri, macho meusi mapana na warembo kwelikweli
Wow akhera patamu sana. Umeniongezea ari nifike.
Maana nlpokuwa Kafiri la kikristo hata skupapenda mbinguni Yani kukesha unaimba tu milele na milele inaboa ni Bora nife tu.
 
Back
Top Bottom