Hii ndoto imenisumbua sana usiku kucha, ni nani huyu?

Desprospero

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
1,015
Reaction score
2,493
Wajumbe, katika Imani zote hata za kina Yericko Nyerere tunaambiwa tusipuuze ndoto na hasa ndoto za usiku wa manane.

Jana nimeota namuona kiongozi mwandamizi wa chama fulani akiwa amevalia nguo za kijani akiwa na kundi la vijana wakimshangilia lakini ghafla akapigwa mshale wa ubavuni na kufa hapo hapo. Likaja meli kubwa na kuuchukua mwili wake na kutokomea nao ndani ya bahari. Kwenye meli kulijaa vipepeo weupe.

Kwa hakika ndoto hii Hadi Sasa inanisumbua nini maana yake hasa katika mjadala huu wa TPA na DP World? Wajuzi wa kutafasiri ndoto mnisaidie. Huyu ni nani aliyeshindiliwa mshale na kufa?
 
Uwe unakula usiku ,kulala njaa nako tabu sana

USSR

Sent from my TECNO B1c using JamiiForums mobile app
 
Wajumbe, katika Imani zote hata za kina Yericko Nyerere tunaambiwa tusipuuze ndoto na hasa ndoto za usiku wa manane.

Jana nimeota namuona kiongozi mwandamizi wa chama fulani akiwa amevalia nguo za kijani akiwa na kundi la vijana wakimshangilia lakini ghafla akapigwa mshale wa ubavuni na kufa hapo hapo. Likaja meli kubwa na kuuchukua mwili wake na kutokomea nao ndani ya bahari. Kwenye meli kulijaa vipepeo weupe.

Kwa hakika ndoto hii Hadi Sasa inanisumbua nini maana yake hasa katika mjadala huu wa TPA na DP World? Wajuzi wa kutafasiri ndoto mnisaidie. Huyu ni nani aliyeshindiliwa mshale na kufa?
Hizi I'd mpya na ndoto za hivi huwa sio bure.
 
unatamani kupigwa ban wewe
 
Vipepeo weupe ni kanzu na vibaragashia vyake. Kuelekea baharini ni kuagwa Kisiwandui. Mshale ni pigo toka ka Maulana. Mtu huyo simjui
 
Ndoto uote wewe!!!

Kiongozi mwandamizi aliyevalia KIJANI ulimwona wewe ndotoni,

Halafu unatuuliza sie tusomwona kuwa ni nani huyo?

Kama mmepanga yenu sawa, bt usijifiche nyuma ya ndoto🙏🙏
 
Wajumbe, katika Imani zote hata za kina Yericko Nyerere tunaambiwa tusipuuze ndoto na hasa ndoto za usiku wa manane.

Jana nimeota namuona kiongozi mwandamizi wa chama fulani akiwa amevalia nguo za kijani akiwa na kundi la vijana wakimshangilia lakini ghafla akapigwa mshale wa ubavuni na kufa hapo hapo. Likaja meli kubwa na kuuchukua mwili wake na kutokomea nao ndani ya bahari. Kwenye meli kulijaa vipepeo weupe.

Kwa hakika ndoto hii Hadi Sasa inanisumbua nini maana yake hasa katika mjadala huu wa TPA na DP World? Wajuzi wa kutafasiri ndoto mnisaidie. Huyu ni nani aliyeshindiliwa mshale na kufa?
Atakuwa lipùuuùu
 
Ni mara ngapi umewahi ota ndoto flani flani na zikawa za kweli? Tuanzie apo kwanza, japo nakubaliana na hoja yako kwamba wapo watu wanakarama iyo aotacho hutokea kweli,

Mfano mwaka 2019 yupo mtu wangu wa karibu sana , nilikua na safari ila kabla ya siku mbili anza safari , aliniambia ameota ananipungia mkono wakati wa kuanza safali ile huku akilia sana, then akamaliza kwamba wakati ndo naanza ondoka akapiga kelele ya kunitaka nisimamishe gari na nilipo simama akasema fanya safari yako iwe mbele kwa weak 2, na wakati namuuliza kwa nini akazinduka

Badae bwana nikasema kama utani kwamba ,wewe umejenga mazingira kwamba kwa mda nitasafiri hutokua na mtu wa kubadilishana mawazo maana tupo karibu, nikasema ni ndoto tu ,

Nikamwambia kama kunajambo baya Mbona Mungu hajaniambia na Moyo wangu upo na amani tele na safari hii,

Bwana nilisafiri salama na kufika salama ila wakati narudi hata sikumbuki nini kilitokea, nilibiringita na gari lile , na kuvunjika mguu japo haikua mvunjiko mkubwa wa kufanyiwa upasuaji katika maeneo ya kisigino cha mguu ,ila ambae aliona gari lile hawezi amini kama kuna mtu alitoka mzima ,na kwa jinsi lilivyokua niliuza kama creper.

So nakubali ndoto zingine sio za kupuuza ,Mungu wakati mwingine anaweza pitia kwa mtu kukuletea ujumbe
 
Wajumbe, katika Imani zote hata za kina Yericko Nyerere tunaambiwa tusipuuze ndoto na hasa ndoto za usiku wa manane.

Jana nimeota namuona kiongozi mwandamizi wa chama fulani akiwa amevalia nguo za kijani akiwa na kundi la vijana wakimshangilia lakini ghafla akapigwa mshale wa ubavuni na kufa hapo hapo. Likaja meli kubwa na kuuchukua mwili wake na kutokomea nao ndani ya bahari. Kwenye meli kulijaa vipepeo weupe.

Kwa hakika ndoto hii Hadi Sasa inanisumbua nini maana yake hasa katika mjadala huu wa TPA na DP World? Wajuzi wa kutafasiri ndoto mnisaidie. Huyu ni nani aliyeshindiliwa mshale na kufa?
Itakuwa ulilala bila kuomba dua ndo maana unaota vitu visivyoeleweka.
 
Back
Top Bottom