Hii ndoto imenisumbua sana usiku kucha, ni nani huyu?

Hii ndoto imenisumbua sana usiku kucha, ni nani huyu?

Wajumbe, katika Imani zote hata za kina Yericko Nyerere tunaambiwa tusipuuze ndoto na hasa ndoto za usiku wa manane.

Jana nimeota namuona kiongozi mwandamizi wa chama fulani akiwa amevalia nguo za kijani akiwa na kundi la vijana wakimshangilia lakini ghafla akapigwa mshale wa ubavuni na kufa hapo hapo. Likaja meli kubwa na kuuchukua mwili wake na kutokomea nao ndani ya bahari. Kwenye meli kulijaa vipepeo weupe.

Kwa hakika ndoto hii Hadi Sasa inanisumbua nini maana yake hasa katika mjadala huu wa TPA na DP World? Wajuzi wa kutafasiri ndoto mnisaidie. Huyu ni nani aliyeshindiliwa mshale na kufa?
Madhara ya kuvimbiwa ugali Dona usiku Kwa maharage ndio haya Sasa 😁😁
 
Sometimes ndoto huwa ni matamanio yetu ..
Kuna siku nilikuwa natazama Sana picha za gari moja online ...
Haikupita wiki nikaota naliendesha
 
Back
Top Bottom