Desprospero
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 1,015
- 2,493
Uwe unakula usiku ,kulala njaa nako tabu sanaWajumbe, katika Imani zote hata za kina Yericko Nyerere tunaambiwa tusipuuze ndoto na hasa ndoto za usiku wa manane.
Jana nimeota namuona kiongozi mwandamizi wa chama fulani akiwa amevalia nguo za kijani akiwa na kundi la vijana wakimshangilia lakini ghafla akapigwa mshale wa ubavuni na kufa hapo hapo. Likaja meli kubwa na kuuchukua mwili wake na kutokomea nao ndani ya bahari. Kwenye meli kulijaa vipepeo weupe.
Kwa hakika ndoto hii Hadi Sasa inanisumbua nini maana yake hasa katika mjadala huu wa TPA na DP World? Wajuzi wa kutafasiri ndoto mnisaidie. Huyu ni nani aliyeshindiliwa mshale na kufa?
Hizi I'd mpya na ndoto za hivi huwa sio bure.Wajumbe, katika Imani zote hata za kina Yericko Nyerere tunaambiwa tusipuuze ndoto na hasa ndoto za usiku wa manane.
Jana nimeota namuona kiongozi mwandamizi wa chama fulani akiwa amevalia nguo za kijani akiwa na kundi la vijana wakimshangilia lakini ghafla akapigwa mshale wa ubavuni na kufa hapo hapo. Likaja meli kubwa na kuuchukua mwili wake na kutokomea nao ndani ya bahari. Kwenye meli kulijaa vipepeo weupe.
Kwa hakika ndoto hii Hadi Sasa inanisumbua nini maana yake hasa katika mjadala huu wa TPA na DP World? Wajuzi wa kutafasiri ndoto mnisaidie. Huyu ni nani aliyeshindiliwa mshale na kufa?
MeTaja jinsi yake
unatamani kupigwa ban weweWajumbe, katika Imani zote hata za kina Yericko Nyerere tunaambiwa tusipuuze ndoto na hasa ndoto za usiku wa manane.
Jana nimeota namuona kiongozi mwandamizi wa chama fulani akiwa amevalia nguo za kijani akiwa na kundi la vijana wakimshangilia lakini ghafla akapigwa mshale wa ubavuni na kufa hapo hapo. Likaja meli kubwa na kuuchukua mwili wake na kutokomea nao ndani ya bahari. Kwenye meli kulijaa vipepeo weupe.
Kwa hakika ndoto hii Hadi Sasa inanisumbua nini maana yake hasa katika mjadala huu wa TPA na DP World? Wajuzi wa kutafasiri ndoto mnisaidie. Huyu ni nani aliyeshindiliwa mshale na kufa?
Kumbe wanaoota ndoto hupigwa ban eeh!unatamani kupigwa ban wewe
hiyo ndoto yako subiri utakutana na moderatorsKumbe wanaoota ndoto hupigwa ban eeh!
Atakuwa lipùuuùuWajumbe, katika Imani zote hata za kina Yericko Nyerere tunaambiwa tusipuuze ndoto na hasa ndoto za usiku wa manane.
Jana nimeota namuona kiongozi mwandamizi wa chama fulani akiwa amevalia nguo za kijani akiwa na kundi la vijana wakimshangilia lakini ghafla akapigwa mshale wa ubavuni na kufa hapo hapo. Likaja meli kubwa na kuuchukua mwili wake na kutokomea nao ndani ya bahari. Kwenye meli kulijaa vipepeo weupe.
Kwa hakika ndoto hii Hadi Sasa inanisumbua nini maana yake hasa katika mjadala huu wa TPA na DP World? Wajuzi wa kutafasiri ndoto mnisaidie. Huyu ni nani aliyeshindiliwa mshale na kufa?
Ni mara ngapi umewahi ota ndoto flani flani na zikawa za kweli? Tuanzie apo kwanza, japo nakubaliana na hoja yako kwamba wapo watu wanakarama iyo aotacho hutokea kweli,Wajumbe, katika Imani zote hata za kina Yericko Nyerere tunaambiwa tusipuuze ndoto na hasa ndoto za usiku wa manane.
Jana nimeota namuona kiongozi mwandamizi wa chama fulani akiwa amevalia nguo za kijani akiwa na kundi la vijana wakimshangilia lakini ghafla akapigwa mshale wa ubavuni na kufa hapo hapo. Likaja meli kubwa na kuuchukua mwili wake na kutokomea nao ndani ya bahari. Kwenye meli kulijaa vipepeo weupe.
Kwa hakika ndoto hii Hadi Sasa inanisumbua nini maana yake hasa katika mjadala huu wa TPA na DP World? Wajuzi wa kutafasiri ndoto mnisaidie. Huyu ni nani aliyeshindiliwa mshale na kufa?
Itakuwa ulilala bila kuomba dua ndo maana unaota vitu visivyoeleweka.Wajumbe, katika Imani zote hata za kina Yericko Nyerere tunaambiwa tusipuuze ndoto na hasa ndoto za usiku wa manane.
Jana nimeota namuona kiongozi mwandamizi wa chama fulani akiwa amevalia nguo za kijani akiwa na kundi la vijana wakimshangilia lakini ghafla akapigwa mshale wa ubavuni na kufa hapo hapo. Likaja meli kubwa na kuuchukua mwili wake na kutokomea nao ndani ya bahari. Kwenye meli kulijaa vipepeo weupe.
Kwa hakika ndoto hii Hadi Sasa inanisumbua nini maana yake hasa katika mjadala huu wa TPA na DP World? Wajuzi wa kutafasiri ndoto mnisaidie. Huyu ni nani aliyeshindiliwa mshale na kufa?
Kinanani? au marope?
Nawasubiri na kama wewe ni miongoni wao basi huna utu. Huwezi kumzika mtu kuota sawa na kumzuia mbwa kubweka.hiyo ndoto yako subiri utakutana na moderators