Hii ndoto naomba isiwe kweli, imeniogofya na kunifanya niamke na kuanza kuitafakari

Awamu ya sita

Member
Joined
Apr 1, 2021
Posts
21
Reaction score
98
Ni kuhusu ndege iliyoanguka milima fulani na baadae kuonekana katika ndege hiyo alikuwemo mmoja wa viongozi wakubwa wawili nchini.

Baada ya taarifa kuufikia umma ilionekana kuna vijana wanashangilia na kukebehi kuwa huwezi kushindana na wajuu wakati wewe uko chini. Ndipo nikashtuka

Namwomba Mungu hii isiwe kweli maana nimeona mbali na baadhi ya vijana kukebehi ila kundi kubwa lilikuwa na majonzi sana.
 
Kuna maombi Mungu huwa hajibu kwa utashi wa binadamu..
Hata hivyo hiyo ndoto ni feki si halisi ni ya kujitungia😀
 
Ni kuhusu ndege iliyoanguka milima fulani na baadae kuonekana katika ndege hiyo alikuwemo mmoja wa viongozi wakubwa wawili nchini.

Baada ya taarifa kuufikia umma ilionekana kuna vijana wanashangilia na kukebehi kuwa huwezi kushindana na wajuu wakati wewe uko chini. Ndipo nikashtuka

Namwomba Mungu hii isiwe kweli maana nimeona mbali na baadhi ya vijana kukebehi ila kundi kubwa lilikuwa na majonzi sana.
Kwamba Nchimbi auawe na Samia?
 
Iwe ndoto, isiwe ndoto ila ni matamanio yenu kwamba iwe, pamoja na hao vijana wanaokebehi, na sisi tunamuomba mwingi wa rehema kila baya mnalojifanya mmeliona kwenye ndoto au mnatamani liwe kwa huyo mnayemkusudia na sio mara ya kwanza nyinyi kumuombea mabaya, BASI hayo yote yarudi kwenu.WACHAWI NYIE !
 
Ni kuhusu ndege iliyoanguka milima fulani na baadae kuonekana katika ndege hiyo alikuwemo mmoja wa viongozi wakubwa wawili nchini.

Baada ya taarifa kuufikia umma ilionekana kuna vijana wanashangilia na kukebehi kuwa huwezi kushindana na wajuu wakati wewe uko chini. Ndipo nikashtuka

Namwomba Mungu hii isiwe kweli maana nimeona mbali na baadhi ya vijana kukebehi ila kundi kubwa lilikuwa na majonzi sana.
PM yupo likizo nini?
 
Bado hujaota vizuri lala tena ukiota uje utusimulie.

Wenzako Walisema hatomaliza miaka 3 saizi wamewehuka huko wanatukana hovyo tena wanaojiita manabii kabisa 😂😂
 
Namshukuru Mungu na mimi kapuku niliyeko polini na nisiye na jina wala umaarufu wowote kuota ndoto ambayo hata haijachukua wiki mbili imetokea.

"Niliona vijana wakikebehi kuwa huwezi kushindana na aliye juu wakati wewe uko chini"
 
Hujaota ila ulikua miongoni mwa hao chawa wa kushambulia Makamu kwenye mipango yenu ovu
 
Ni kuhusu ndege iliyoanguka milima fulani na baadae kuonekana katika ndege hiyo alikuwemo mmoja wa viongozi wakubwa wawili nchini.

Baada ya taarifa kuufikia umma ilionekana kuna vijana wanashangilia na kukebehi kuwa huwezi kushindana na wajuu wakati wewe uko chini. Ndipo nikashtuka

Namwomba Mungu hii isiwe kweli maana nimeona mbali na baadhi ya vijana kukebehi ila kundi kubwa lilikuwa na majonzi sana.
Kwa hiyo kuna member na new member. Hii nilikuwa sijaitambua.
 
Back
Top Bottom