Hii ndoto naomba isiwe kweli, imeniogofya na kunifanya niamke na kuanza kuitafakari

Hii ndoto naomba isiwe kweli, imeniogofya na kunifanya niamke na kuanza kuitafakari

Kiongozi, ndoto ile ilimhusu namba mbili ambaye nilionyeshwa kapata ajali ya ndege kuanguka. Siwezi zungumzia jambo ambalo sikuoteshwa.
Kwahiyo na wewe Sasa hivi ni miongoni mwa watabirio?. Kama msemo maarufu kwenye biblia usemae kuwa " je Sauli naye ni miongoni mwa manabii?"
 
Kwahiyo na wewe Sasa hivi ni miongoni mwa watabirio?. Kama msemo maarufu kwenye biblia usemae kuwa " je Sauli naye ni miongoni mwa manabii?"
Hapana mimi sio moingoni mwao, ila ilitokea na niliogopa sana na nikaamua kuandika. Sijawahi kumuotea kiongozi yeyote awe mkubwa ama mdogo ila ilitokea tu nadhani it was by coincidence
 
Namshukuru Mungu na mimi kapuku niliyeko polini na nisiye na jina wala umaarufu wowote kuota ndoto ambayo hata haijachukua wiki mbili imetokea.

"Niliona vijana wakikebehi kuwa huwezi kushindana na aliye juu wakati wewe uko chini"
Original plan,in and out!

Plan ipi comrade!!

"Rais ambaye hajawahi kugombea ,ilitokea marekani!itatokea na huku!!

Ina maana huyu dogo ndio Brother!!?

Comrade ndejembi aukwae wakati hakuugombea!!?

Au!!?

Nawaza na kuwazua!
 
Siwezi nikasema ndiyo au hapana ila hata Mpango hakugombea na haikutokea. Mazingira ya Marekani ya Rais Nixon na Ford yalikuwa yanahusisha tuhuma za rushwa na kupelekea Rais Nixon kujiuzulu na Makamu Ford kushika hatamu.
 
Iwe ndoto, isiwe ndoto ila ni matamanio yenu kwamba iwe, pamoja na hao vijana wanaokebehi, na sisi tunamuomba mwingi wa rehema kila baya mnalojifanya mmeliona kwenye ndoto au mnatamani liwe kwa huyo mnayemkusudia na sio mara ya kwanza nyinyi kumuombea mabaya, BASI hayo yote yarudi kwenu.WACHAWI NYIE !
Mwenzio kasema ndoto,we unameza heater!
 
Back
Top Bottom