Awamu ya sita
Member
- Apr 1, 2021
- 21
- 98
- Thread starter
- #21
Uko sahihi kabisa kiongoziUkiletewa nyingine utuambie. Ingawa hata wewe hukujua tafsiri yake ya moja kwa moja.
Uko sahihi kabisa kiongoziUkiletewa nyingine utuambie. Ingawa hata wewe hukujua tafsiri yake ya moja kwa moja.
Sipo kwenye mfumo na sijawahi kuwa huko na sitarajii kwani niko mbali sana kihadhi kuufikia mfumoMuanzisha mada upo kwenye mfumo, ulijua nini kitatokea..
Ndoto ilikuwa ni namna tu ya kufikisha ujumbe...
Tukupe nini usiku wa leo Ili ukilala uote tena tujue tunazika wapi?Ni kuhusu ndege iliyoanguka milima fulani na baadae kuonekana katika ndege hiyo alikuwemo mmoja wa viongozi wakubwa wawili nchini.
Baada ya taarifa kuufikia umma ilionekana kuna vijana wanashangilia na kukebehi kuwa huwezi kushindana na wajuu wakati wewe uko chini. Ndipo nikashtuka
Namwomba Mungu hii isiwe kweli maana nimeona mbali na baadhi ya vijana kukebehi ila kundi kubwa lilikuwa na majonzi sana.
Wakati naota mwanzo sikupewa kitu chochote sasa iweje leo nipewe chochote ili kuota?? "Washangiliaji walikuwa wanasema huwezi kushindana na aliye juu wakati wewe uko chini". Hili ni funzo kwetuTukupe nini usiku wa leo Ili ukilala uote tena tujue tunazika wapi?
Ulijua wanataka kumfuta EN.
Ulijua kuleta dokezo haikuwa ndoto
Sikuwa najua chochote na sikuwahi kumuotea jambo lolote hapo kabla na ndio maana nililazimika kuandika siku ile ile nilivyootaUlijua wanataka kumfuta EN.
Ulijua kuleta dokezo haikuwa ndoto.
Hongera.Sikuwa najua chochote na sikuwahi kumuotea jambo lolote hapo kabla na ndio maana nililazimika kuandika siku ile ile nilivyoota
Wengi waliona hii.Hongera.
Mimi nilimuotea yule aliye ondoka 2021 amefanyiwa coup detat akauwawa pakatokea machafuko helicopter zinapita watu wanakamatwa, shaba zinaruka kila kona. Niliota siku chache kabla hajondoka. Haizidi miezi 3.
Niliogopa kusema hapa JF au popote nilihofia kukamatwa kama Lema au kudhihakiwa kama wewe kwenye njozi hii.
Ungeiandika tu kwani JF privacy yake ni kubwa tofauti na kusema kwa mdomo kama Lema. Nilichojifunza ni kuwa ndoto yoyote siyo ya kuipuuza na ndio maana nilicyoiweka hapa nilimalizia kwa kusema tumwombe Mwenyezi Mungu aepushie mbali jambo hili lisitokee naHongera.
Mimi nilimuotea yule aliye ondoka 2021 amefanyiwa coup detat akauwawa pakatokea machafuko helicopter zinapita watu wanakamatwa, shaba zinaruka kila kona. Niliota siku chache kabla hajondoka. Haizidi miezi 3.
Niliogopa kusema hapa JF au popote nilihofia kukamatwa kama Lema au kudhihakiwa kama wewe kwenye njozi hii.
Ikitokea Mwenyezi Mungu ameruhusu tena, nitafanya hivyo mkuuUshushiwe ndoto nyingine mkuu
Kuna mtu alimuota ameanzisha chama cha siasa, anagawa kadi kwa wanachama wapya wakiwa kwa foleni, pembeni yake yupo Kiongozi mzito mstaafu anatazama tu.Ungeiandika tu kwani JF privacy yake ni kubwa tofauti na kusema kwa mdomo kama Lema. Nilichojifunza ni kuwa ndoto yoyote siyo ya kuipuuza na ndio maana nilicyoiweka hapa nilimalizia kwa kusema tumwombe Mwenyezi Mungu aepushie mbali jambo hili lisitokee na
Kama atakuwa huru kuendekea kufanya mambo yake inawezekana kabisaKuna mtu alimuota ameanzisha chama cha siasa, anagawa kadi kwa wanachama wapya wakiwa kwa foleni, pembeni yake yupo Kiongozi mzito mstaafu anatazama tu.
Sasa hivi ndio kaanza kupata picha kidogo, anataka aone mwisho wake.
Manabii tunao humu humu JF sema hatuwajuiNi kuhusu ndege iliyoanguka milima fulani na baadae kuonekana katika ndege hiyo alikuwemo mmoja wa viongozi wakubwa wawili nchini.
Baada ya taarifa kuufikia umma ilionekana kuna vijana wanashangilia na kukebehi kuwa huwezi kushindana na wajuu wakati wewe uko chini. Ndipo nikashtuka
Namwomba Mungu hii isiwe kweli maana nimeona mbali na baadhi ya vijana kukebehi ila kundi kubwa lilikuwa na majonzi sana.
Niliangalia huu uzi kwa mara ya kwanza, nikauelewa, ila niliupuuza,.Manabii tunao humu humu JF sema hatuwajui
Pembeni yake kulikuwa na mtu mzito tena mstaafu, bado ana influence kubwa Kitaifa, Kikanda na Kimataifa. Bwana yule alikuwa analitazama zoezi likiendelea, akiwa mtulivu sana.Kama atakuwa huru kuendekea kufanya mambo yake inawezekana kabisa
Mbona aliyekalia kiti anshindana na aliye juuu kwa kuua, kuminya haki za raia wenzake nk. Vipi yeye hiyo nadharia haimuhusu?Wakati naota mwanzo sikupewa kitu chochote sasa iweje leo nipewe chochote ili kuota?? "Washangiliaji walikuwa wanasema huwezi kushindana na aliye juu wakati wewe uko chini". Hili ni funzo kwetu
Kiongozi, ndoto ile ilimhusu namba mbili ambaye nilionyeshwa kapata ajali ya ndege kuanguka. Siwezi zungumzia jambo ambalo sikuoteshwa.Mbona aliyekalia kiti anshindana na aliye juuu kwa kuua, kuminya haki za raia wenzake nk. Vipi yeye hiyo nadharia haimuhusu?