Weka huu mzigo upasue masikio ππ»ππ»Ni ngoma fulani hivi ina mdundo wa pekee niliokuwa nausikia kwenye spika za gari yangu, kubwa zaidi ni uzuri wa mirindimo ya vinanda uliokwenda sambamba na sauti za wasanii hawa zilizobeba ujumbe fulani very inspirational(wale wapambanaji wataelewa nachomaanisha); Ngoma inaitwa HAYATABIRIKI kutoka kwa Belle 9 akiwa na mkali wa rap hapa kibongobongo anaitwa Young Lunya.... Enjoy hii ngoma huku volume ya spika zako zikiwa juuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!
Sasa mwanajamvi kutoka Mwalusembe, Bukombe na nyarugusu huko akiisoma hii comment yako atakuelewa kweli?Kwa ngoma zinazotia hamasa ku fight kuna where the hood at ya DMX .. Pia kuna im not afraid na pia dont love me za eminem
Walamba lips na Matoz Nyangema mna shida sana. Ili ujione wewe Mjanja eti lazima umtaje Drake, 2 Pac nk. Kwan ukimsikiliza JIDE na CHEGE CHIGUNDA Utayeyuka! Watu washatoka kwenye huo Utumwa wa Wazungu Mkuu stukaaaaa!Kwa ngoma zinazotia hamasa ku fight kuna where the hood at ya DMX .. Pia kuna im not afraid na pia dont love me za eminem
Money ner. Sawa mjuaji wa jfWalamba lips na Matoz Nyangema mna shida sana. Ili ujione wewe Mjanja eti lazima umtaje Drake, 2 Pac nk. Kwan ukimsikiliza JIDE na CHEGE CHIGUNDA Utayeyuka! Watu washatoka kwenye huo Utumwa wa Wazungu Mkuu stukaaaaa!