Hyrax
JF-Expert Member
- May 20, 2023
- 964
- 2,675
Ni ngoma fulani hivi ina mdundo wa pekee niliokuwa nausikia kwenye spika za gari yangu, kubwa zaidi ni uzuri wa mirindimo ya vinanda uliokwenda sambamba na sauti za wasanii hawa zilizobeba ujumbe fulani very inspirational(wale wapambanaji wataelewa nachomaanisha); Ngoma inaitwa HAYATABIRIKI kutoka kwa Belle 9 akiwa na mkali wa rap hapa kibongobongo anaitwa Young Lunya.... Enjoy hii ngoma huku volume ya spika zako zikiwa juuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!