Hii ngoma nimeisikiliza leo kutoka Moro mpaka Dar, inahamasisha na kutia hasira za kupambana, Isikilize !!

Hyrax

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2023
Posts
964
Reaction score
2,675
Ni ngoma fulani hivi ina mdundo wa pekee niliokuwa nausikia kwenye spika za gari yangu, kubwa zaidi ni uzuri wa mirindimo ya vinanda uliokwenda sambamba na sauti za wasanii hawa zilizobeba ujumbe fulani very inspirational(wale wapambanaji wataelewa nachomaanisha); Ngoma inaitwa HAYATABIRIKI kutoka kwa Belle 9 akiwa na mkali wa rap hapa kibongobongo anaitwa Young Lunya.... Enjoy hii ngoma huku volume ya spika zako zikiwa juuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!
 
Attachments

Ngoma kali ni ya Aslay ft Jay Melody- Amenikamata. Mistari, mpangilio wa sauti, nk
 
Kwa ngoma zinazotia hamasa ku fight kuna where the hood at ya DMX .. Pia kuna im not afraid na pia dont love me za eminem
 
Ni ngoma fulani hivi ina mdundo wa pekee niliokuwa nausikia kwenye spika za gari yangu, kubwa zaidi ni uzuri wa mirindimo ya vinanda uliokwenda sambamba na sauti za wasanii hawa zilizobeba ujumbe fulani very inspirational(wale wapambanaji wataelewa nachomaanisha); Ngoma inaitwa HAYATABIRIKI kutoka kwa Belle 9 akiwa na mkali wa rap hapa kibongobongo anaitwa Young Lunya.... Enjoy hii ngoma huku volume ya spika zako zikiwa juuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!
Weka huu mzigo upasue masikio 👇🏻👇🏻
 
Attachments

  • 20230528_081008.jpg
    20230528_081008.jpg
    1.7 MB · Views: 3
Sijaisikiliza ila nimeipenda sana, ni bonge moja la ngoma na huchoki kuisikiliza
 
Kwa ngoma zinazotia hamasa ku fight kuna where the hood at ya DMX .. Pia kuna im not afraid na pia dont love me za eminem
Walamba lips na Matoz Nyangema mna shida sana. Ili ujione wewe Mjanja eti lazima umtaje Drake, 2 Pac nk. Kwan ukimsikiliza JIDE na CHEGE CHIGUNDA Utayeyuka! Watu washatoka kwenye huo Utumwa wa Wazungu Mkuu stukaaaaa!
 
Money ner. Sawa mjuaji wa jf
 
Kuna ngoma niliisikia kwa umbaaali kutoka kwenye bar moja, maneno niliyokariri, "akili kubwa kuongozwa na akili ndogo" sijui Ni nani kapiga hii kitu!!
 
Back
Top Bottom