Hii nguo Kila nikiivaa nakutana na watu si chini ya watano Kwa siku wameivaa pia

Dah nilitaka nimstue Lucas Msambwanda aje ajishindie hilo pigo, kumbe @tlaahtlaah kashapita nalo! Ila anyway, kwakuwa ni familia watashea tu si mbaya
 
Wew ni kama mim huwa spendi kuvaa fasion znazo trend wakati huo.

Matokeo yake mnakuwa kama waimba kwaya.
 
sawa engineer hongera kwa moyo mzuri na upambanaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…