Hii nguo Kila nikiivaa nakutana na watu si chini ya watano Kwa siku wameivaa pia


Asante kwa upendo aise

Sababu uliyoitoa imeniacha hoi πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwa hiyo mimi na braza min -me tuje tuchukue sare ya jiji 🀣

Enwei XL haitanitosha mimi navaa Medium
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…